Hongera Bi Nenelwa Muhambwi kuteuliwa kuwa Katibu wa Bunge, katende haki!

Hongera Bi Nenelwa Muhambwi kuteuliwa kuwa Katibu wa Bunge, katende haki!

Binafsi nampongeza sana bi Nenelwa Muhambwi kwa kuteuliwa kuwa Katibu wa bunge la JMT.

Katibu wa bunge ndio kiungo muhimu kati ya bunge na serikali tuna imani utakwenda kutenda haki.

Kadhalika utawakuta wale wabunge 19 wa Chadema ambao ubunge wao una utata, Tafadhali kamshauri ipasavyo mh Spika kwa sababu kwa jinsia huwezi kupendelea kuwa na maslahi binafsi.

Eid Mubarak!
Mwihambi angalia spelling na sahihisho wajina.
Hivi huyu hatoki jimboni kwa Ndugai kweli?
 
Nimatumaini yangu,aligeteuliwa no mtu makini,na kupitia yeye tutaondokana na ile miswaada ya hati ya dharura ya kutengeneza sheria kandamizi kama zile za awamu ya karibuni,na kudhibiti ukiukwaji wa Kariba kwa makusudi wa baadhi ya wababe.
Tumuombee asije kukengeuka na kiburi cha madaraka!
 
Ukizijua vizuri tabia za dola yoyote huwezi kutumaini hivyo.
Nimatumaini yangu,aligeteuliwa no mtu makini,na kupitia yeye tutaondokana na ile miswaada ya hati ya dharura ya kutengeneza sheria kandamizi kama zile za awamu ya karibuni,na kudhibiti ukiukwaji wa Kariba kwa makusudi wa baadhi ya wababe.
 
Ukizijua vizuri tabia za dola yoyote huwezi kutumaini hivyo.
Kama watashindwa kukidhi matarajio yetu,pia wawetayari kutuachia uhuru wetu wa kuwahukumu kwa haki kupitia sanduku la kura,na sii kupitia kura za kwenye vibegi na mkono wa dola.
 
Hahahaaaa..... Hahahaaaa..... Dr Amos Makalla mutu ya watu ndani ya Mzizima!

Mwendazake alimtema Amos Makalla kwa utendaji mbovu lakini Kikwete kamrudisha muweka hazina wake kwa kishindo kuonesha kuwa mwendazake hayupo tena yeye ndio dume la mbegu!!!

Nenelwa is the right choice kuwa mtendaji mkuu wa Bunge kwani amevunja ungo akiwa hapo Bungeni na mpaka akaolewa na mbunge hivyo anavijua vichochoro vyote vya bunge!!! Juu ya yote hayo ni msomi mzuri tu!!! Hongera sana.
 
Kikwete tena?!
 
Kikwete tena?!

Ndio, wenye kuona wameona mkono wa Kikwete kwenye uteuzi wa Amos Makalla!! Samia kasema yeye na Jiwe ni Ndugu moja sasa itakuwaje mtu aliyetemwa na Jiwe mara hii amekuwa msafi wa kurudishwa ulingoni hata arobaini haijaisha!! Ndio hapo mkono wa Mkwere unapojitokeza kwani Samia na Makalla wapi na wapi pengine angekuwa Bashite!!

Makalla alikuwa muweka hazina wa ccm Kikwete alipokuwa Mwenyekiti hivyo wana siri yao moja inayomfanya amkumbuke!
 
Back
Top Bottom