johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mtendaji mkuu wa bunge!Kazi ya Katibu wa bunge ni ipi?
Kwa mujibu wa katiba ya JMT!Kwa nini katibu wa bunge anateuliwa na Rais badala ya spika wa bunge?
Spika kichwa maji kama Ndugai anaweza akamteua Mkurugenzi wa sasa' wa Bahi kuwa Katibu wa Bunge akiachiwa mianya kama hizo.Kwa nini katibu wa bunge anateuliwa na Rais badala ya spika wa bunge?
Kazi ya Katibu wa bunge ni ipi?
Akatende haki!Na miswaada binafsi / hoja za wabunge vitakuwa havipotei kwenye mazingira ya kutatanisha.
Sio kazi ya katibu wa binge hiyoKadhalika utawakuta wale wabunge 19 wa Chadema ambao ubunge wao una utata, Tafadhali kamshauri ipasavyo mh Spika kwa sababu kwa jinsia huwezi kupendelea kuwa na maslahi binafsi.
Mi naona wengi kawabadilisha tu vituo, hakuna uteuzi wa maana!Binafsi leo nime elewa kwanini MAMA alitumia muda mrefu kuteua wakuu wa Mikoa.
Huyu ndio mkuu halisi wa bunge. Huyo ndio muwakilishi wa serikali/rais bungeni. Yeye ndio mratibu wa shughuli zote za bunge, ikiwemo, miswada na hoja mbalimbali. Akigomea chochote hakijadiliwi bungeni. Huyu hutumika na rais kulidhibiti bunge.
Itajulikana!Sio kazi ya katibu wa binge hiyo
Bunge ni taasisi bwashee!Tatizo kubwa la bunge ni kile kichwa cha Kongwa na kale ka dada ka Mbeya! Zitumike kanuni kuwang'oa hawa
Mtendaji mkuu wa bunge!
Rais kama mkuu wa nchi ndiye mteuzi mkuu!Kwa hiyo Rais anateua Watendaji wakuu wa Serikali, Bunge na Mahakama?!
Nimatumaini yangu,aligeteuliwa no mtu makini,na kupitia yeye tutaondokana na ile miswaada ya hati ya dharura ya kutengeneza sheria kandamizi kama zile za awamu ya karibuni,na kudhibiti ukiukwaji wa Kariba kwa makusudi wa baadhi ya wababe.Huyu ndio mkuu halisi wa bunge. Huyo ndio muwakilishi wa serikali/rais bungeni. Yeye ndio mratibu wa shughuli zote za bunge, ikiwemo, miswada na hoja mbalimbali. Akigomea chochote hakijadiliwi bungeni. Huyu hutumika na rais kulidhibiti bunge.