Hongera Bill Nass na Nandy kwa kufunga ndoa

Hongera Bill Nass na Nandy kwa kufunga ndoa

Una miliki demu unakuja porwa na wenye cheo na uchumi

Mwenye cheo na uchumi anakufa unarudishiwa makombo unaanza kufakamia makombo as if sio makombo

Ama kweli wanaume tunapungua sikuhizi

Ndo nini hiki kupenda kitonga au
 
Halua haina makombo mkuu
 
Ndoa Tamu kwenye masherehe,ila hiyo kifungo yake sio masihara

na hivi wote hao watu wa sanaa,leo kaenda location kesho hivi kesho vile

ili hiyo kitu idumu lazima mmoja apotee kimuziki akomae na mbishe zingine otherwise

Misuko suko itayopiga hiyo merikebu sio ya nchi hiii,kuna mijitu naijua yenyewe haitembei

na mwanamke asie na ndoa,na inajua honga vyema sana,eti mwanamke alie olewa ana vina saba vyote....

Nandy kaingia ulimwengu rasmi wa wale wanangu wenye misimamo yao,atawindwa kama Dhahabu..

Bili nae vile vile,ki ufupi Acha wafurahi wa enjoy tu ila NDOA yahitaji kuukataa mwili na dunia kwa ujumla sio masihara,IGA UPASUKE.
 
Una miliki demu unakuja porwa na wenye cheo na uchumi

Mwenye cheo na uchumi anakufa unarudishiwa makombo unaanza kufakamia makombo as if sio makombo

Ama kweli wanaume tunapungua sikuhizi

Ndo nini hiki kupenda kitonga au
Hamna makombo kwenye Mapenzi Boss,mwanamke ni mpya Kila siku hata alale na dunia nzima.
 
Una miliki demu unakuja porwa na wenye cheo na uchumi

Mwenye cheo na uchumi anakufa unarudishiwa makombo unaanza kufakamia makombo as if sio makombo

Ama kweli wanaume tunapungua sikuhizi

Ndo nini hiki kupenda kitonga au
Polee
 
Kuna wanaume wanamuonea wivu billinas aibu hii
 
Hongereni Bill Nass na Nandy kwa kufanya maamuzi mazuri, ndoa yenu ikawe ya heri na baraka.

Hongereni tena kwa kuwa mfano kwa wasanii wenzenu kuwa inawezekana mkinia jambo lenu.

Hakika mnatoka kwenye familia zenye misingi ya malezi ndio maana leo mmekula kiapo. Kongolee once again ๐Ÿ’‹
View attachment 2292811
Baada ya ndoa sasa,ni kazi moja tu,burudani msije mkapotea kama walivyokuwa Marrow na besta,
Nyie inabidi muwe kama Beyonce na jayz
 
Una miliki demu unakuja porwa na wenye cheo na uchumi

Mwenye cheo na uchumi anakufa unarudishiwa makombo unaanza kufakamia makombo as if sio makombo

Ama kweli wanaume tunapungua sikuhizi

Ndo nini hiki kupenda kitonga au
Unajisifu Mwanaume alafu unaandika huu utumbo.Wewe umekula Makombo mangapi?Kule mnamtukana Jokate kabeba mimba bila kuolewa huku Nandy kaamua kuolewa mapovu.Real Love never end hata kama bilionea atatia mguu.Fanya yako Mkuu wenzio washaamua Wanaume washamba wako mitandaoni kuponda Wanaume wenzao.Marlow na Besta walionyesha njia.Kamanda kavuta mchuma kila la kheri mengine mbele kwa mbele hakuna anayejua Kesho yake.
 
Back
Top Bottom