Hongera BoT kwa utaratibu wa watumishi kukopa benki kwa njia ya mtandao, japokuwa mikopo umiza mitaani bado imewashinda

Hongera BoT kwa utaratibu wa watumishi kukopa benki kwa njia ya mtandao, japokuwa mikopo umiza mitaani bado imewashinda

Wameipa Jina la Mikopo chupi mkononi, meaning nguo zinawavuka kina mama wakitafuta marejesho, mpaka kijijini kwangu ipo. Tujitafakari
Huwezi kuanzisha taasisi ya kitapeli uachwe na wakati kuna RC/RAS/RPC/RSO/DC/DAS/OCD/DSO/DED/Mbunge/Mwenyekiti wa council ubaki salama kama hakuna mikono ya wakubwa
 
Haya yote yanawezekana lakini sio kwa serikali hizi za CCM ambazo zinakosa kabisa ubunifu kusaidia watumishi
Hapo inatakiwa tuzidishe maombi tu hao jamaa hawana nia njema katika kuwakwamua watumishi katika mikopo umiza ambayo kwa kiasi kikubwa imedhoofisha hata uwajibikaji makazini kwa msongo uliowapata hao watumishi wa kada ya chini

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Sijui kwanini watawala hawataki kabisa jambo hili. Wanawaza kukusanya kodi na gawio kutoka kwenye mabenki.
Labda wanaogopa wataidhoofisha sector binafsi kwani zitakosa wateja .Kama ndio hivyo riba za mabenki hasa nmb ambayo ndie mtoa huduma mkubwa kwa watumishi wa umma wengi mishahara yao inapitia huko lazima iangaliwe upya kwa kupunguza vikorombwezo kibao vya mikopo yao akiwemo mdudu aitwaye processing fee

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Labda wanaogopa wataidhoofisha sector binafsi kwani zitakosa wateja .Kama ndio hivyo riba za mabenki hasa nmb ambayo ndie mtoa huduma mkubwa kwa watumishi wa umma wengi mishahara yao inapitia huko lazima iangaliwe upya kwa kupunguza vikorombwezo kibao vya mikopo yao akiwemo mdudu aitwaye processing fee

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
BOT wamelala usingizi wa pono.
 
Utumishi portal ilisitisha huduma wakisema kuwa kuna maboresho ikapita muda mwingi ikawa kimya.
Nimesearch google na kwenye tovuti ya wizara ya fedha ili nijionee utaratibu siioni.
Hapo sasal mtihani, ila ukienda NMB watakupa maelezo.
 
Back
Top Bottom