Babu Ubwete
Senior Member
- Jan 26, 2008
- 169
- 31
"Captain" wa hizi bogus airlines za Kinaigeria zinazopata ajali kila mara na kuanguka na kuua passengers na crew wote? Halafu huyu mdada hakumtendea haki fiance wake wa Kihaya ambaye mwaka jana alim-dump kupitia statements kwenye blog ya yule malaya wa Dubai. Ni noma sana jinsi alivyomdhalilisha jamaa kwa kuvunja uchumba in public utadhani yeye ni mtu mmoja muhimu sana kwenye jamii au superstar fulani.
Hivi ni kwa nini hawa aviators wa Kitanzania wanakimbia job market ya nyumbani, wakati wageni wame-dominate kwenye sekta ya aviation Bongo? Jee, wanaonewa na kupewa inferior compensation in their own country ukilinganisha na Wazungu na wageni wengineo? Or what exactly is the problem?
Yo real have sound reasoning hapa. Wht i've heard from Engineers where she use to work is She lacked competence.