Hongera CCM kwa ushindi

Bila mwamba DJ Mbowe saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !!
Kwa hiyo? Ingekuwa hivyo basi hatuna haja ya kuisema vibaya CCM maana tuna ndugu na jamaa wanaotusaidia kule, hata wazazi waliotupeleka shule wengi ni CCM

Ficha upumbavu wako
 
Lakini pia amesema ni kwanini ameamua kubadili mawazo toka kutogombea hadi kugombea u-chair, nafikiri ameleza vizuri, japo sijasoma tamko lote!
 
Lakini pia amesema ni kwanini ameamua kubadili mawazo toka kutogombea hadi kugombea u-chair, nafikiri ameleza vizuri, japo sijasoma tamko lote!
Nashangaa hawa viwavi wanavyomsakama utafikiri ametenda uhaini.
 
Ameonyesha wazi hana msimamo na kuwa kuna wanaomsukuma afanye hivyo kwa malengo. Hivyo anatumiwa kwa kujua au bila kujua. Kama ana sifa si angetangaza nia bila mashambulizi mengine? Na kwanini mwanzo hakutaka kugombea ila sasa? Sababu aliyotoa hairithishi zaidi ya kuonekana anasukumwa na wanaharakati wa CLUB HOUSE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…