Hongera CCM kwa ushindi

Hongera CCM kwa ushindi

Bila mwamba DJ Mbowe saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !!
Kwa hiyo? Ingekuwa hivyo basi hatuna haja ya kuisema vibaya CCM maana tuna ndugu na jamaa wanaotusaidia kule, hata wazazi waliotupeleka shule wengi ni CCM

Ficha upumbavu wako
 
Kama alisema mwenyewe kuwa hatagombea nafasi ya Mwenyekiti na kwa utashi wake mwenyewe ameamua kugombea amevunja sheria yoyote? Na je Mbowe akija hadharani kusema hatagombea na anamuunga mkono Lissu utasimama upande gani? Tuacheni demokrasia ichukue mkondo wake.
Lakini pia amesema ni kwanini ameamua kubadili mawazo toka kutogombea hadi kugombea u-chair, nafikiri ameleza vizuri, japo sijasoma tamko lote!
 
Lakini pia amesema ni kwanini ameamua kubadili mawazo toka kutogombea hadi kugombea u-chair, nafikiri ameleza vizuri, japo sijasoma tamko lote!
Nashangaa hawa viwavi wanavyomsakama utafikiri ametenda uhaini.
 
No, a big NO. Lakini unaangalia mazingira ya kuleta mpasuko. Chaguzi zinakuwa na mipasuko. Kuna CCM pale ana kila zana za kuwaua, kinachiowanganisha ni Umoja wenu. sasa unaleta hoj ya kuwagawa. LLISU IS STUPI! MROPOKAJI. AMEKULA MATAPISHI YAKE. HAAMINIKI TENA


View: https://www.instagram.com/habarimpyatv_/reel/DDUepM5iQsa/

HALAFU HUYU UMUAMINI KUMPA CHAMA, KESHO ATABADILIKA

Ameonyesha wazi hana msimamo na kuwa kuna wanaomsukuma afanye hivyo kwa malengo. Hivyo anatumiwa kwa kujua au bila kujua. Kama ana sifa si angetangaza nia bila mashambulizi mengine? Na kwanini mwanzo hakutaka kugombea ila sasa? Sababu aliyotoa hairithishi zaidi ya kuonekana anasukumwa na wanaharakati wa CLUB HOUSE
 
Back
Top Bottom