Mafanikio 07
Member
- Jun 18, 2019
- 57
- 37
Mada ni treni hyo mengineo imefata nini?Wachaga tunaojielewa tutampongeza raisi kwa hili, na mengineyo mengi mazur aliyotufanyia ila wale wanaoshikiwa akili na kina Amsterdam na Lisu hawawezi kupongeza wala kushukuru kwa jema lolote linalofanywa na serikali hii ya CCM chini ya mwenyekiti wake raisi John P Magufuli
Wewe uliyepost hapa utakuwa wa Kwanza kula sikukuu mjini maana treni imejaa mpaka tarehe 27 December.Kiukweli kurejea kwa usafiri wa gari moshi kanda ya kaskazini imekuwa ni mkombozi mkubwa kwetu hasa nyakati hizi za sikukuu za kufungia mwaka.
Shukrani pekee ziwaendee viongozi wa CCM na hasa komredi Polepole kwa kuhakikisha usafiri wa gari Moshi unarejea.
2020 hakuna mchagga atakula Krismas na mwaka mpya Dar es salaam, sote tutakuwa nyumbani Kilimanjaro.
Karibuni wageni.
Maendeleo hayana vyama!
Sidhan kama ni sahihi kunipangia ya kuandika hapa JFMada ni treni hyo mengineo imefata nini?
Mimi tayari niko Usseri bwashee!Wewe uliyepost hapa utakuwa wa Kwanza kula sikukuu mjini maana treni imejaa mpaka tarehe 27 December.
Sio sahihi Ila tunaelimishanaSidhan kama ni sahihi kunipangia ya kuandika hapa JF
Poa Washee. Mimi niko hapa Mansera ila naingia hapo Himo - Mombasa High Way kula jumapili kidogo Washee..Mimi tayari niko Usseri bwashee!
Ok nduguSio sahihi Ila tunaelimishana
Huu ni uwongo uliotukuka. Ikifika miez ya siukuu. Mabasi ya kwenda moshi yamejaa tops. Unasema nani alifeli nauli?Wengi walikuwa wanafeli nauli!