Hongera CCM Treni ya Moshi - Arusha yawa mkombozi kipindi hiki cha sikukuu hakuna mchaga atabaki DSM!

Hongera CCM Treni ya Moshi - Arusha yawa mkombozi kipindi hiki cha sikukuu hakuna mchaga atabaki DSM!

Wachaga tunaojielewa tutampongeza raisi kwa hili, na mengineyo mengi mazur aliyotufanyia ila wale wanaoshikiwa akili na kina Amsterdam na Lisu hawawezi kupongeza wala kushukuru kwa jema lolote linalofanywa na serikali hii ya CCM chini ya mwenyekiti wake raisi John P Magufuli
Mada ni treni hyo mengineo imefata nini?
 
Na huko jengeni sgr nyie si mnafedha nyingi za ndani
 
Kiukweli kurejea kwa usafiri wa gari moshi kanda ya kaskazini imekuwa ni mkombozi mkubwa kwetu hasa nyakati hizi za sikukuu za kufungia mwaka.

Shukrani pekee ziwaendee viongozi wa CCM na hasa komredi Polepole kwa kuhakikisha usafiri wa gari Moshi unarejea.

2020 hakuna mchagga atakula Krismas na mwaka mpya Dar es salaam, sote tutakuwa nyumbani Kilimanjaro.

Karibuni wageni.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe uliyepost hapa utakuwa wa Kwanza kula sikukuu mjini maana treni imejaa mpaka tarehe 27 December.
 
Treni imejaa pomoni wachagga wameamua kuunga juhudi za serikali yao
 
Back
Top Bottom