johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kwani pale Ufipa siyo ofisi zao?Aisee - hiyo ni nzuri. Vipi na Ofisi? Hivi bado hawajajenga ofisi zao mpaka leo?
Barakoa ni swala binafsi!Hapo ni poa....vipi kuhusu uvaaji wa barakoa, huwa wanavaa wakiwa ofisini...?
Unaishi mtaa gani bwashee?Hata mim navaa barakoa, hali c shwari mtaani,
Lumumba kuna zana zote bwashee!Lumumba mmeweka?
OkBarakoa ni swala binafsi!
Soma vizuri hilo swali.Kwani pale Ufipa siyo ofisi zao?
Lumumba kuna zana zote bwashee!
Sitavaa barakoa Ila nitajikita kutumia kinywaji mchanganyiko wa tangawizi, limao, kitungua maji , kitinguu swaumu na pilipili kichaa. Kwa mazingira yetu tunayoishi barakoa haiwezi kusaidia kutokuambukizwa.Hata mim navaa barakoa, hali c shwari mtaani,
Kuhusu makusanyo ya kodi?Mkuu umeiona taarifa ya waziri Mpango?
Kwahiyo unawaaminia makonda?Sitavaa barakoa Ila nitajikita kutumia kinywaji mchanganyiko wa tangawizi, limao, kitungua maji , kitinguu swaumu na pilipili kichaa. Kwa mazingira yetu tunayoishi barakoa haiwezi kusaidia kutokuambukizwa. Makondakta na madereva wa daladala wote hawavai barakoa na wanakutana na abria wengi kuanzia asubuhi hadi jioni lakini sijawahi kusikia wamekufa na corona.
Umeiona taarifa ya mpangoKwahiyo unawaaminia makonda?
Wana Herd Immune kutokana na kuchanganyikana na abiria muda wote ndiyo maana nchi zinazoweka lockdown vifo huongezeka zaidi.Kwahiyo unawaaminia makonda?
Kuhusu makusanyo ya kodi?
Pamoja na kodi na hili pia amegusiaKuhusu makusanyo ya kodi?