park don
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 4,953
- 7,097
Naheshimu maamuzi yakoSitavaa barakoa Ila nitajikita kutumia kinywaji mchanganyiko wa tangawizi, limao, kitungua maji , kitinguu swaumu na pilipili kichaa. Kwa mazingira yetu tunayoishi barakoa haiwezi kusaidia kutokuambukizwa. Makondakta na madereva wa daladala wote hawavai barakoa na wanakutana na abria wengi kuanzia asubuhi hadi jioni lakini sijawahi kusikia wamekufa na corona.