Nikiri wazi kuwa hatua inazochukua CHADEMA za kukiweka chama kwenye mstari zinaonekana!ifahamike kuwa CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani nchini kinachokinyima usingizi Chama Cha Mapinduzi CCM.Kila kichwa cha mwana CCM Muovu kinaiwazia mabaya CHADEMA ingawaje kuna wana CCM wachache wenye uelewa lakini kutokana na fursa chache za matumizi ya akili ndani ya CCM,wanazitumia kuisaidia CHDM.
Tujiulize wana jf hivi inawezekana mwan CCM kutoa maneno ya nasaha ya kuijenga CHADEMA?Ni kwa nini wakaweza kutugawanya sisi tulio amka na kuona mbele zaidi kwa hoja za kipumbavu? Mitego yote iliyowekwa na CCM juu ya CHADEMA Inaelekea kukosa nguvu!kadiri miaka inavyo kwenda watu wanaamka na kugundua mitego yote inayotengenezwa ya kuvidhoofisha vyama vya upinzani vinavyoonekana kuwa na nguvu ya kuhatarisha uhai wa CCM!Mbinu hiz zinaelekea kukosa nguvu baada ya mamluki na kauli za kukichafua chama kugundulika mapema.
NAWAPA HONGERA KURUGENZI YA INTELIGENSIA YA CHAMA kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kubaini mamluki na kila aina ya uhaini unaofanywa dhidi ya CHDM,ni wakati pia kwa kujua uzito wa kazi walio nayo na challenge zinavyoongezeka nashauri kamati hii ya inteligensia iongezewe NGUVU NA VIFAA VYA KISASA!pia niwapongeze KAMATI KUU kwa mshikamano walio nao.
Nawashauri kuwa MAKINI ZAIDI KWANI BAADA YA PLAN HIYO KUSHNDWA WANAKUJA NA PLAN B ya kukidhoofisha CHDM.Wana CHDM,WANA JF NA WANANCHI WOTE wenye mapenzi mema tujikite katika kukijenga CHADEMA Kwa kusaidia kutoa taarifa zote za uhaini za kukihujumu chama .
Kamati kuu kaeni kama kuna tofauti miongoni mwenu mkosoane mjadiliane na mzimalize kiprotocal pasipo sisi wanachama kujua matatizo ya ndani ambayo siyo muhmu kwetu!
Nimetumia dakika hizi chache kuwapongeza na kuwashauri!naomba mchukue ushari zaidi.PONGEZI NYINGI TUTAPEANA BAADA YA SAFARI NGUMU YA 2015.
Asanteni!