Chagua cheo unachokita upewe.Kazi umekwisha fanya
Kweli wewe mzinga umekosa akili ndogo tu ya kujitambua,wewe ni miongon mwa wajinga wanaolisumbua taifa hili sababu ya uelewa kidogo!!
Chagua cheo unachokita upewe.Kazi umekwisha fanya
Chagua cheo unachokita upewe.Kazi umekwisha fanya
kwa bomu linalokuja naona utakata tamaa kabisa,Kwa sbabu bomu hilo linaianika chadema na michezo yao yote michafu inayofanyika kwa usiri mkubwa na kuwaaminisha watanzania kwamba ni serikali kumbe ni wao.
Yaani,nakuombea uwe hai ushuhudie mwaka huu watu wanavyoumbuka.Asante mungu kwa kufanikisha hatua zote kilichobaki ni kuweka kwa tv muone

kwa bomu linalokuja naona utakata tamaa kabisa,kwa sbabu bomu hilo linaianika chadema na michezo yao yote michafu inayofanyika kwa usiri mkubwa na kuwaaminisha watanzania kwamba ni serikali kumbe ni wao.
Yaani,nakuombea uwe hai ushuhudie mwaka huu watu wanavyoumbuka.asante mungu kwa kufanikisha hatua zote kilichobaki ni kuweka kwa tv muone
kama unataka kujua kuhusu id ya tuntemeke:
hii ni id iliyokua ikitumiwa na kijana festo richard sanga akiwa mwanafunzi wa duce.ukiangalia tangu mwaka 2009 festo alikua kijana anayeipenda chadema kama taasisi hadi baada ya uchaguzi wa bavicha ndipo aliapoanza kuchukua mrengo tofauti usio wa kitaasisi hasa mwishoni mwa mwaka 2011 na mwanzoni kabisa mwaka 2012.
Alipotekwa na kundi la masalia(anaishi nyumba moja na mtela mwampamba) alikubali id yake itumike kuchafua chama na viongozi (kubomoa kama ilivyokua ikiitwa).binafsi nilikuja kufahamiana na festo sanga na kukutana nae uso kwa uso tarehe 01/05/2012 pale lunch time hotel around 3:00 pm.nilichelewa kukutana nae kwa kuwa nilikua mwanza kikazi
kwa bomu linalokuja naona utakata tamaa kabisa,Kwa sbabu bomu hilo linaianika chadema na michezo yao yote michafu inayofanyika kwa usiri mkubwa na kuwaaminisha watanzania kwamba ni serikali kumbe ni wao.
Yaani,nakuombea uwe hai ushuhudie mwaka huu watu wanavyoumbuka.Asante mungu kwa kufanikisha hatua zote kilichobaki ni kuweka kwa tv muone
kwa bomu linalokuja naona utakata tamaa kabisa,Kwa sbabu bomu hilo linaianika chadema na michezo yao yote michafu inayofanyika kwa usiri mkubwa na kuwaaminisha watanzania kwamba ni serikali kumbe ni wao.
Yaani,nakuombea uwe hai ushuhudie mwaka huu watu wanavyoumbuka.Asante mungu kwa kufanikisha hatua zote kilichobaki ni kuweka kwa tv muone
tutalinganisha na maovu ya ccm yanayofanyika wazi tone kipi bora.kwa bomu linalokuja naona utakata tamaa kabisa,Kwa sbabu bomu hilo linaianika chadema na michezo yao yote michafu inayofanyika kwa usiri mkubwa na kuwaaminisha watanzania kwamba ni serikali kumbe ni wao.
Yaani,nakuombea uwe hai ushuhudie mwaka huu watu wanavyoumbuka.Asante mungu kwa kufanikisha hatua zote kilichobaki ni kuweka kwa tv muone
kama nigeweza kukuona au kuonana uso kwa uso ningefurahi sana,hayo ndio maneno ya kujenga chama ,lakini usishangae akijitokeza magamba kupinga ushauri wako.Nikiri wazi kuwa hatua inazochukua CHADEMA za kukiweka chama kwenye mstari zinaonekana!ifahamike kuwa CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani nchini kinachokinyima usingizi Chama Cha Mapinduzi CCM.Kila kichwa cha mwana CCM Muovu kinaiwazia mabaya CHADEMA ingawaje kuna wana CCM wachache wenye uelewa lakini kutokana na fursa chache za matumizi ya akili ndani ya CCM,wanazitumia kuisaidia CHDM.
Tujiulize wana jf hivi inawezekana mwan CCM kutoa maneno ya nasaha ya kuijenga CHADEMA?Ni kwa nini wakaweza kutugawanya sisi tulio amka na kuona mbele zaidi kwa hoja za kipumbavu? Mitego yote iliyowekwa na CCM juu ya CHADEMA Inaelekea kukosa nguvu!kadiri miaka inavyo kwenda watu wanaamka na kugundua mitego yote inayotengenezwa ya kuvidhoofisha vyama vya upinzani vinavyoonekana kuwa na nguvu ya kuhatarisha uhai wa CCM!Mbinu hiz zinaelekea kukosa nguvu baada ya mamluki na kauli za kukichafua chama kugundulika mapema.
NAWAPA HONGERA KURUGENZI YA INTELIGENSIA YA CHAMA kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kubaini mamluki na kila aina ya uhaini unaofanywa dhidi ya CHDM,ni wakati pia kwa kujua uzito wa kazi walio nayo na challenge zinavyoongezeka nashauri kamati hii ya inteligensia iongezewe NGUVU NA VIFAA VYA KISASA!pia niwapongeze KAMATI KUU kwa mshikamano walio nao.
Nawashauri kuwa MAKINI ZAIDI KWANI BAADA YA PLAN HIYO KUSHNDWA WANAKUJA NA PLAN B ya kukidhoofisha CHDM.Wana CHDM,WANA JF NA WANANCHI WOTE wenye mapenzi mema tujikite katika kukijenga CHADEMA Kwa kusaidia kutoa taarifa zote za uhaini za kukihujumu chama .
Kamati kuu kaeni kama kuna tofauti miongoni mwenu mkosoane mjadiliane na mzimalize kiprotocal pasipo sisi wanachama kujua matatizo ya ndani ambayo siyo muhmu kwetu!
Nimetumia dakika hizi chache kuwapongeza na kuwashauri!naomba mchukue ushari zaidi.PONGEZI NYINGI TUTAPEANA BAADA YA SAFARI NGUMU YA 2015.
Asanteni!