Hongera CHADEMA kwa kuyashinda haya!mnatupa imani zaidi kuelekea 2015!

Uiva viva viva viva vivaaaaaaaaa CHADEMA tutafika tu hata mbuyu ulianza kama mchicha
 
kama nigeweza kukuona au kuonana uso kwa uso ningefurahi sana,hayo ndio maneno ya kujenga chama ,lakini usishangae akijitokeza magamba kupinga ushauri wako.

napatikana kwa namba 0716689250 mkuu!hata nape anaweza ichukua aniue kama anataka maana wamezoe
 
Umeongea mambo ya msingi sana, hivi sasa Uongozi wote wa juu wa magamba wanakosa usingizi kutokana na kasi kubwa ya moto wa M4C,kwa hiyo vikao vyao vya ndani wakati wote, wanapanga njama za kuivuruga Chadema. Lakini kwa bahati nzuri sana tofauti na siku za nyuma yaliyowakuta NCCR Mageuzi nyakati zake na CUF, Chadema wako makini sana kuwashughulikia mapandikizi na mamluki wanolipwa na magamba ili kukivuruga Chadema, ndiyo maana tabiri zao za mara Chadema kitakufa kesho,keshokutwa, mara mtondogoo,zote zinakuwa ndoto za alinacha na CDM inaendelea kuchanja mbuga kuelekea 2015,ambapo bila wasiwasi wowote itatwaa Dola kutokana na ridhaa ya wanyonge wa nchi hii watakawapigia kura za kishindo, na miongoni ya kura hizo watazipata hata kutoka kwa wana-CCM wanyonge ambaohuwa wanaambiwa CCM ina wenyewe,ambao ni mafisadi!! Cha msingi ni kuwa makini na kila mkakati unaopangwa na magamba,na kwa kuwa siku zote tunasema CDM tuna Mungu tunayemtumaini,wao CCM wana mabilioni ya pesa yaliyopatikana kwa njia za ufisadi wanayoyategemea kuwahonga mamluki ili waivuruge CDM!!
 

ukiwaambia wanajifanya hawajui kumbe wenyewe challenge wanaziona!kizazi cha leo kimeamka sana.mmewasomesha kwenye shule zenu za kata,sasa wamejua ubaya wenu na watawahukumu kwa matendo yenu maovu!
 
Viva CHADEMA,Viva Tanzania.Mungu atupe nguvu ya kufika salama 2015 ili tuweze

kuondoa wezi wa mali za umma.
 
Viva CHADEMA,Viva Tanzania.Mungu atupe nguvu ya kufika salama 2015 ili tuweze

kuondoa wezi wa mali za umma.

ni wajibu wako mimi na wewe ndugu kujitoa kikamilifu ili kuyaondoa haya majanga!viva chadema
 
Chadema inakufa haya mambo ya kujifariji eti imeshinda majaribu na maneno ya kiroho ili hali kansa iko palepale. Huwezi kusulihisha ugomvi kwa kuwaweka wapenzi watatu kwa mtu mmoja. Inabidi tu wengine watalakiwe abaki mmoja. Sasa hapa kuna matabaka ambayo hayayumbishwi. Hakuna demokrasia ya kweli ndani ya chadema bali uteuzi unaofanywa na mzee mtei akisaidiana na mbowe na slaa. Eti wengine kazi yao ni kuitikia tuu piiipooo pwaaaaaaa hata kama haieleweki. What abaout people energy?? Wanawatuhumu wakina halima mdee zito na juliana eti wameanzisha chama ndani ya chadema kinaitwa m17 lakini hawawatuhumu wakina lema walioanzisha m4c. Vipi ile sangara maana yake nini?? Hapa kuna kazi watatafuta mchawi mpaka watatawanyika kushoto na kulia. Chadema haiwezi kusimama bila zitto na kundi lake. Hilo litakuwa pigo la mwaka kwa sababu zitto anawakilisha sura ya kitaifa ya chadema akikubalika na chadema kanda ya ziwa, magharibi na mashariki ya tanzania. Hakuna chama kinaweza kuwa na nguvu eti kwa kutegemea kanda ya kaskasizi peke yake. Pia utoaji madaraka chadema umeweka nguvu kubwa upande mmoja wa nchu ukianzia mwenyekiti katibu wa vijana, mwenyekiti wa wanawake na wafadhili wa chama. Wabunge hao tunaacha kwa sasa
 

umenena vyema kulingana na akili yako finyu!kakudanganya nani kuwa zito ana mgogoro?ndo kina nape,chemba,na wasira wanakudanganya na wewe unaamini!alitangaza lini kuwa ana mgogoro ndani ya chdm?ulishamsikia kiongozi wa chdm akizungumzia mgogoro huo?au wanywa ulanzi wenzio wanakuaminisha huu ujinga na wewe unaamini!
 
Tunasubiri kwa hamu kiongozi,safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…