Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Hawa si wanataka wachukue nvi mkuu, au huu uchaguzi wa nini, nilikua bar mziki mkubwa sijasikia chchte kinachoendelea? Ni uchaguzi ili iweje huko nyasa.Wenye nchi si ni CCM mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa si wanataka wachukue nvi mkuu, au huu uchaguzi wa nini, nilikua bar mziki mkubwa sijasikia chchte kinachoendelea? Ni uchaguzi ili iweje huko nyasa.Wenye nchi si ni CCM mkuu?
Umeambiwa CCM wanapokea walevi😀?Sasa mtaendelea kujipigia kura, na kutojiibia mbwa nyie. Acha niende sesemu oyeee.
Kimara Uchaguzi imebidi urudiwe huko, kulikuwa na matatizo makubwa ya uchaguzi.Salaam, shalom!!
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu uchaguzi unaendelea wa Kanda, mchuano ni mkali na Leo tumeshuhudia Mh Sugu akiibuka mshindi Kwa tofauti ya kura mbili pekee.
Jambo jingine, sijasikia kura kuharibika, hili linaonesha kuwa uelewa wa wapiga kura CHADEMA ni WA kiwango Cha juu.
Jambo lingine zuri ni kuwa, sijasikia matukio ya wizi wa kura, kura kuzidi idadi ya wapiga kura, Wala sijaona polisi wakisimamia masanduku ya kura Kwa mitutu ya bunduki.
NEC ijifunze DEMOKRASIA na uhuru wa uchaguzi uliooonyeshwa na CHADEMA. Kwa waliotegemea mkono uanguke kama fisi, pole Yao.
Mungu ibariki CHADEMA ✊
Mungu Ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Sawa, Nimeambiwa nchi inaongozwa na sesemu, nyie mnajipa taabu tu, sasa sesemu, ndio wananilisha, wananivesha na kunipa pombe, wanasema mama anaupiga mwingi. Sasa, acha nikapokelewa nyumbani kura yangu wanaitaka. Nyie si mnaona sisi tunaohoji walevi hatufai sawa. Acha niende sesemu tu. Nyie bakini na watu wasio walevi. Haya.Umeambiwa CCM wanapokea walevi😀?
Uchaguzi huu na ujao mitaa, madiwani, wabunge na Rais,
Hatutaki viongozi walevi Wala wapigakura walevi.
Matatizo makubwa ya Uchaguzi ni kama yepi?Kimara Uchaguzi imebidi urudiwe huko, kulikuwa na matatizo makubwa ya uchaguzi.
Ova
Kwamba CCM wanakununulia pombe sio!!Sawa, Nimeambiwa nchi inaongozwa na sesemu, nyie mnajipa taabu tu, sasa sesemu, ndio wananilisha, wananivesha na kunipa pombe, wanasema mama anaupiga mwingi. Sasa, acha nikapokelewa nyumbani kura yangu wanaitaka. Nyie si mnaona sisi tunaohoji walevi hatufai sawa. Acha niende sesemu tu. Nyie bakini na watu wasio walevi. Haya.
Hili swali unalileta kwangu mkuu? Au umedhani mimi ni Boniface Jacob?Matatizo makubwa ya Uchaguzi ni kama yepi?
Kumbe Nia Yako ni kuleta porojo sio!!Hili swali unalileta kwangu mkuu? Au umedhani mimi ni Boniface Jacob?
Ova
Tatizo halimalizwi kwa kulificha. Ila kwa kutatuliwa na kuzomewa hilo tatizo.Kumbe Nia Yako ni kuleta porojo sio!!
Hujasikia jamani huko sugu aka moto chini katoa mpunga balaa. Yaani memba wakitoka hapo ni kununua fuso tu. Ila hiki ki NGO kinaboaSalaam, shalom!!
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu uchaguzi unaendelea wa Kanda, mchuano ni mkali na Leo tumeshuhudia Mh Sugu akiibuka mshindi Kwa tofauti ya kura mbili pekee.
Jambo jingine, sijasikia kura kuharibika, hili linaonesha kuwa uelewa wa wapiga kura CHADEMA ni WA kiwango Cha juu.
Jambo lingine zuri ni kuwa, sijasikia matukio ya wizi wa kura, kura kuzidi idadi ya wapiga kura, Wala sijaona polisi wakisimamia masanduku ya kura Kwa mitutu ya bunduki.
NEC ijifunze DEMOKRASIA na uhuru wa uchaguzi uliooonyeshwa na CHADEMA. Kwa waliotegemea mkono uanguke kama fisi, pole Yao.
Mungu ibariki CHADEMA ✊
Mungu Ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Nilichosikia na kuthibitisha ni kuwa,Hujasikia jamani huko sugu aka moto chini katoa mpunga balaa. Yaani memba wakitoka hapo ni kununua fuso tu. Ila hiki ki NGO kinaboa
Sasa mbona wewe umeamua kulificha Badala ya kuliweka wazi?Tatizo halimalizwi kwa kulificha. Ila kwa kutatuliwa na kuzomewa hilo tatizo.
Ova
Yani wewe? LolsHili swali unalileta kwangu mkuu? Au umedhani mimi ni Boniface Jacob?
Ova
Kama kuna funzo muhimu zaidi kwa CHADEMA kutokana na zoezi lao hili, ni kutambua kwamba bado hawajafuzu kitu chochote.Salaam, shalom!!
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu uchaguzi unaendelea wa Kanda, mchuano ni mkali na leo tumeshuhudia Mh Sugu akiibuka mshindi Kwa tofauti ya kura mbili pekee.
Jambo jingine, sijasikia kura kuharibika, hili linaonesha kuwa uelewa wa wapiga kura CHADEMA ni WA kiwango Cha juu.
Nimefurahishwa pia na kauli ya Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA ndugu TUNDU Lisu kukemea hadharani matumizi ya pesa chafu katika mchakato mzima wa uchaguzi wa chama chake.
Jambo lingine zuri ni kuwa, sijasikia matukio ya wizi wa kura, kura kuzidi idadi ya wapiga kura, Wala sijaona polisi wakisimamia masanduku ya kura Kwa mitutu ya bunduki.
NEC ijifunze DEMOKRASIA na uhuru wa uchaguzi uliooonyeshwa na CHADEMA. Kwa waliotegemea mkono uanguke kama fisi, pole Yao.
Kwa kilichotokea katika chaguzi hizi zinazoendelea za CDM, wananchi wanatakiwa KUIAMINI pasi na shaka CDM katika chaguzi zijazo Kwa kuwa wameonyesha matumaini ya kuheshimu SANDUKU LA KURA ambalo likiheshimiwa, hutoa viongozi Bora.
Mungu ibariki CHADEMA ✊
Mungu Ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
PIA SOMA:
- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa
Acha hizo Kipa🤔Ila kuna mtu kapewa lifti mpaka Makambako ndio zile kura 2!
Kweli ulikuwa umelewa.Hawa si wanataka wachukue nvi mkuu, au huu uchaguzi wa nini, nilikua bar mziki mkubwa sijasikia chchte kinachoendelea? Ni uchaguzi ili iweje huko nyasa.
Sugu na Wenje wamewapiga bei kama matikiti,mara vurugu mara wagombea wajitoe yaani ni shida tupu 😁😁Salaam, shalom!!
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu uchaguzi unaendelea wa Kanda, mchuano ni mkali na leo tumeshuhudia Mh Sugu akiibuka mshindi Kwa tofauti ya kura mbili pekee.
Jambo jingine, sijasikia kura kuharibika, hili linaonesha kuwa uelewa wa wapiga kura CHADEMA ni WA kiwango Cha juu.
Nimefurahishwa pia na kauli ya Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA ndugu TUNDU Lisu kukemea hadharani matumizi ya pesa chafu katika mchakato mzima wa uchaguzi wa chama chake.
Jambo lingine zuri ni kuwa, sijasikia matukio ya wizi wa kura, kura kuzidi idadi ya wapiga kura, Wala sijaona polisi wakisimamia masanduku ya kura Kwa mitutu ya bunduki.
NEC ijifunze DEMOKRASIA na uhuru wa uchaguzi uliooonyeshwa na CHADEMA. Kwa waliotegemea mkono uanguke kama fisi, pole Yao.
Kwa kilichotokea katika chaguzi hizi zinazoendelea za CDM, wananchi wanatakiwa KUIAMINI pasi na shaka CDM katika chaguzi zijazo Kwa kuwa wameonyesha matumaini ya kuheshimu SANDUKU LA KURA ambalo likiheshimiwa, hutoa viongozi Bora.
Mungu ibariki CHADEMA ✊
Mungu Ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
PIA SOMA:
- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa
Toka naweee.
Umenena vyema,Kama kuna funzo muhimu zaidi kwa CHADEMA kutokana na zoezi lao hili, ni kutambua kwamba bado hawajafuzu kitu chochote.
Uchaguzi wao huu uchukuliwe kuwa kama 'mock' hivi kuelekea kwenye mtihani halisi hapo 2024 na 2025.
Mtihani wao huu wa 'mock' uwawezeshe kuwapata wanachama wao wenye sifa kushindana katika kila nafasi itakayokuwepo ya kuchaguliwa. Pasiwepo hata nafasi moja watakayowaachia CCM wapite bila ushindani, kuanzia kwenye nafasi za mitaa; kata; wilaya, mikoa hadi kwenye urais.
Lakini mtihani huu wa majaribio 'Mock' iwe ndipo chanzo cha kupanga mikakati ya kuzuia uharibifu unaofanywa na CCM katika chaguzi. Wajipange vizuri toka sasa, kuhakikisha kwamba hakuna kura ya mwananchi yeyote itakayoharibiwa kwa sababu CCM wanatafuta ushindi wasioustahili. Huu ndio mtihani wao mkubwa tokea sasa na kwenda mbele.