Hakuna thermos wala vikapu vya vitafunwa vilivyokuwa vinaingizwa kwenye chumba cha kuhesabia kura kama inavyokuwaga kwenye General election.Ila kuna mtu kapewa lifti mpaka Makambako ndio zile kura 2!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna thermos wala vikapu vya vitafunwa vilivyokuwa vinaingizwa kwenye chumba cha kuhesabia kura kama inavyokuwaga kwenye General election.Ila kuna mtu kapewa lifti mpaka Makambako ndio zile kura 2!
Haitasaidia kitu. CCM sasa hivi waombe tu muujiza CHADEMA wajikwae mahali.Sasa wanajiandaa kuajiri polisi wengi sana Ili wasaidie jahazi lisizame, Hilo nalo halitafanikiwa.
CCM kuiba ni jadiHujaelewa,
Kule CCM, wanaweza kupiga kura watu 2000, Cha kushangaza, zikihesabiwa kura, mgombea mmoja akapata kura 1500, akafuatiwa na mshindi wa pili mwenye kura 800, na zikaharibika kura 50.
Na pamoja na Kutokea mshangao huo, Bado hawawezi kufuta uchaguzi.
Chadema ndio Mwlimu wa Demokrasia Nchini.Salaam, shalom!!
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu uchaguzi unaendelea wa Kanda, mchuano ni mkali na leo tumeshuhudia Mh Sugu akiibuka mshindi Kwa tofauti ya kura mbili pekee.
Jambo jingine, sijasikia kura kuharibika, hili linaonesha kuwa uelewa wa wapiga kura CHADEMA ni WA kiwango Cha juu.
Nimefurahishwa pia na kauli ya Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA ndugu TUNDU Lisu kukemea hadharani matumizi ya pesa chafu katika mchakato mzima wa uchaguzi wa chama chake.
Jambo lingine zuri ni kuwa, sijasikia matukio ya wizi wa kura, kura kuzidi idadi ya wapiga kura, Wala sijaona polisi wakisimamia masanduku ya kura Kwa mitutu ya bunduki.
NEC ijifunze DEMOKRASIA na uhuru wa uchaguzi uliooonyeshwa na CHADEMA. Kwa waliotegemea mkono uanguke kama fisi, pole Yao.
Kwa kilichotokea katika chaguzi hizi zinazoendelea za CDM, wananchi wanatakiwa KUIAMINI pasi na shaka CDM katika chaguzi zijazo Kwa kuwa wameonyesha matumaini ya kuheshimu SANDUKU LA KURA ambalo likiheshimiwa, hutoa viongozi Bora.
Mungu ibariki CHADEMA ✊
Mungu Ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
PIA SOMA:
- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa
Nakubali kabisa!!Chadema ndio Mwlimu wa Demokrasia Nchini.
Pesa za Abdul zilikamatwa na Majasusi wa Chadema mapema sanaCHADEMA wamejitahidi sn
Halafu Huwa wanaharibu kura,CHADEMA wamejitahidi sn
Abdul alitumwa na maza kwenda kuharibu CHADEMAPesa za Abdul zilikamatwa na Majasusi wa Chadema mapema sana
SureHalafu Huwa wanaharibu kura,
Yaani uchaguzi wa viongozi ndani ya chama, tusingetegemea kura kuharibika.
Hili jambo linaongekewa juu juu,Pesa za Abdul zilikamatwa na Majasusi wa Chadema mapema sana