Pre GE2025 Hongera CHADEMA kwa uchaguzi huru na haki, sijasikia tukio la wizi wa kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa wanajiandaa kuajiri polisi wengi sana Ili wasaidie jahazi lisizame, Hilo nalo halitafanikiwa.
Haitasaidia kitu. CCM sasa hivi waombe tu muujiza CHADEMA wajikwae mahali.
 
CCM kuiba ni jadi
 
Chadema ndio Mwlimu wa Demokrasia Nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…