Hongera Chama kioo cha Soka la Bongo. Utakuwa ukilinganishwa na kila Mchezaji ajaye. Chama babalao

Ona huyu mbwiga
Mbwiga ni yule aliyekuzaa. Mimi nimemjibu vile huyo mpuuzi mwenzao baada ya mimi kumwambia aweke hapa rekodi za Maxi Zengeli, akaweka rekodi ya kwamba "rekodi aliyoweka ni kwamba alishindwa kucheza Berkane", ndo nami nikakuuliza tena hivyo nilivyomuuliza kwa kejeli. Sasa wewe nawe naona unakurupuka.
 
Hata wewe unae alie kuzaa ila siwezi mtukana sababu ya umbwiga wako
 
Back
Top Bottom