Mbwiga ni yule aliyekuzaa. Mimi nimemjibu vile huyo mpuuzi mwenzao baada ya mimi kumwambia aweke hapa rekodi za Maxi Zengeli, akaweka rekodi ya kwamba "rekodi aliyoweka ni kwamba alishindwa kucheza Berkane", ndo nami nikakuuliza tena hivyo nilivyomuuliza kwa kejeli. Sasa wewe nawe naona unakurupuka.