Sister,,kuanzia Kasim Majaliwa Pm,na hao wengine,waliogopa vibarua vyao visije kuota mchanga, maana jambazi Sabaya alikuwa anapendwa na magufuliNi kwanini polisi, Takukuru na a Waziri Mkuu walishindwa kumsaidia mzee Lyimo?
Mungu fundi sana alituletea Magufuli kwa Maksudi ili atuoneshe namba ya kufanya uchuguzi kwa kutufundisha kupitia utawala wake na wateule wake ni kama mfano wa mfalme wa babeli katila nyakati za akina Daniel, Meshack,Abednego hindi walivyotendwa na wapambe wa mfalmeNapenda kutumia fursa hii kumpongeza kwa dhati Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni kwa kumpigia simu mzee Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la uchunguzi.
Mzee Lyimo ni mfanyabiashara ambaye aliporwa TZS 25M na aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya. Inaelezwa kuwa Sabaya alikua na desturi ya kufuatilia akaunti za wafanyabiashara wakubwa na kujua kiasi walichonacho bank.
Baada ya kufuatilia akaunti ya mzee Lyimo na kujiridhisha kuwa ana "mzigo wa kutosha" bank, alimvamia nyumbani kwake akiwa na mabaunsa, pamoja na askari polisi wa kituo cha polisi Bomang'ombe. Askari hao walibaki nje ya geti wakiwa kwenye gari. Inadaiwa Sabaya aliambatana na Juma Rahibu ambaye kwa sasa ni Meya wa Moshi.
Waliingia ndani wakiwa na mabegi mawili. Walitoa silaha na kuwaweka chini ya ulinzi familia nzima. Kisha wakamchukua mzee Lyimo na kuzungumza nae. Sabaya akamwambia "nahitaji 25M sasa hivi, ama nikukabidhi haya mabegi yawe yako"
Akafungua kumuonesha begi moja lina bangi na jingine lina mirungi. Mzee Lyimo akaona anatengenezewa kesi ya madawa ya kulevya ambayo haina dhamana. Na ukizingatia umri wake anaweza kufia gerezani. Basi akakubali kutoa kiasi hicho cha pesa.
Sabaya akaagiza polisi waliokua nje na "difenda" wamsindikize bank, ambapo alienda kutoa kiasi hicho cha pesa na kuja kumkabidhi Sabaya. Matukio yote yalirekodiwa kwenye CCTV za nyumbani kwa mzee Lyimo lakini Sabaya wala hakujali. Alijua mamlaka inayomlinda ni kubwa sana.
Hata hivyo mzee Lyimo hakuridhika na akaamua kutafuta haki yake kimyakimya. Akaenda kuripoti TAKUKURU lakini hawakumsaidia, akaripoti polisi hawakumsaidia. Baadae akamwambia Godbless E.J. Lema ambaye alilifikisha kwa Waziri mkuu lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.
Sasa baada ya Sabaya kukamatwa, Lema akaamua kuandika tweet ya kukumbushia haki ya mzee Lyimo. Baada ya kuona tweet hiyo mamlaka zimeanza kuchukua hatua. CP Hamduni amempigia simu mzee Lyimo na tayari TAKUKURU Kilimanjaro wameshafungua jalada. Hongera sana Hamduni, naamini mzee Lyimo atapata haki yake.!
Kichwani Ni bogus, halafu pia Ni kusudi la Mungu, na kingine alijua Magufuli labda ataishi mileleHuyu Dogo alikua fala sana, alikua anafanya matukio na Anaacha ushahidi
Kwakua alifanya kazi kubwa ya kuidhoofisha Chadema Hai na kuhakikisha Mbowe harudi bungeni.Sister,,kuanzia Kasim Majaliwa Pm,na hao wengine,waliogopa vibarua vyao visije kuota mchanga, maana jambazi Sabaya alikuwa anapendwa na magufuli
It is true nimezungumzia udhubutu, sasa nenda ukasome tena Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...Alafu Pascal Mayalla mambo kama hayo anayaita uthubutu kiasi cha kupendeza bashite nae awe rais!!
Soma Vema UeleweHivi ina maana huko PCCB hakuna aliyekuwa analijua hili? shame!!!SSH tuletee wazenj zaidi huku haya mengine ya huku bara ni majizi na manafiki tu.
Chief tutachague chizi mara ngapiKabisa mkuu maana ukisikia matendo ya wasaidiz wake yanatia kinyaa Sana na jins hayat alivyokuwa akijipambanua kuwa n mzalendo mtoa haki na haya tunayoyaona na mengne kusikia Kuna shida mahali kwa intelejensia yetu na madaraka ya Rais n makubwa Sana kwa kwel
Kuna mwaka tutachagua chizi kabisa na aiuze nchi na wananchi tutaufyata kabisaa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sasa Magufuli kweli amtume Sabaya kwa Mzee Lyimo kuchukua m25!? Kweli!? Na wwe unaamini kabisa!? Sabaya alikua anapiga kimya kimya na OCD wa Hai!!Magufuli atakuwa alilishwa limbwata na wasaidizi wake haiwezekan mambo kam haya yatokee na awe kimya kias kile dah?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mtu anatimiza wajibu wake unamfungulia uziCP Hamduni amempigia simu mzee Lyimo na tayari TAKUKURU Kilimanjaro wameshafungua jalada
Jiwe AnahusikaNi kwanini polisi, Takukuru na a Waziri Mkuu walishindwa kumsaidia mzee Lyimo?
πIt is true nimezungumzia udhubutu, sasa nenda ukasome tena Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
Nilipoandika uthubutu, nilisema ni uthubutu wa nini na sikusema uthubutu tuu!. Can you take your time kujua ni uthubutu wa nini.
P
πππππ πMtu anatimiza wajibu wake unamfungulia uzi
Bottom anamtetea TOP wake!!! Shame!Mambo ya kutengeneza hayo, hamna ushahidi wa kutosha kuhusu kijana msafi Sabaya
Alikuwa na kinga kubwa snHuyu Dogo alikua fala sana, alikua anafanya matukio na Anaacha ushahidi
Nchi Ngumu Sana Mpaka AjabuBottom anamtetea TOP wake!!! Shame!
Tuna kasumba ya ajabu sana na ndiyo maana haki zetu nyingi zinapotea, tunashindwa kutofautisha favour na wajibuπππππ π
Watasema Apandishwe Cheo
Aliyemteua ndiyo alikuwa mpuuzi zaidiItakuwa busara huyu kiumbe afanywe mfano wa wengine wote wanaojisahau na madaraka. Hukumu yake iwe nzito kiasi kwamba akitokea mpumbavu mwingine akiwaza hata kidogo kuleta dhulma za kijinga awe na case study ya kumtuliza munkari.
Hii ni fedheha kwa nchi inayojisifu kuwa ina utawala wa kidemokrasia.
Magufuli atakuwa alilishwa limbwata na wasaidizi wake haiwezekan mambo kam haya yatokee na awe kimya kias kile dah?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
System ni mbovu haswaSystem za TZ siyo nzuri- Hivi kwanini mpaka agizo litoke juu kama tukio limetokea katika eneo lako? Kwa mfano jana mama katilia shaka gharama za ujenzi wa jengo BOT Mwanza- Sasa kwa ishu kama ile mpaka mama awaagize tena TAKUKURU?
Hakuna cha limbwata kwa Ibilisi ndivyo alivyoumbwaMagufuli atakuwa alilishwa limbwata na wasaidizi wake haiwezekan mambo kam haya yatokee na awe kimya kias kile dah?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app