white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Ishu sio kulifahamu, kama hadi PM, aliambiwa lakini hakufanya lolote, unategemea nini?nguvu iliyokuwa nyuma ya sabaya ilikuwa kubwa sana!!ni Mungu tu ndio angeweza kuamua vingine!!Hivi ina maana huko PCCB hakuna aliyekuwa analijua hili? shame!!!SSH tuletee wazenj zaidi huku haya mengine ya huku bara ni majizi na manafiki tu.
Alilishwa limbwata au yeye ndio alikuwa anamtuma si mteule wake .Magufuli atakuwa alilishwa limbwata na wasaidizi wake haiwezekani mambo kam haya yatokee na awe kimya kias kile dah?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hypothesis namba moja ni sahihi zaidi. Aliwatuma ili apate hela ya kujengea Kijiji cha Chato.Rais ndye.mwenye mamlaka Kuna mawili hapa
1 aliwatuma yeye mwenyewe
2 aliwekewa limbwata
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kama adhabu ya Sabaya aliyepora milioni 25 ni hiyo aliyepora T 1.5 yeye adhabu yake ni ipi ?Huyu mjuba ingepaswa apewe hukumu ya kifo cha kupigwa mawe tu. Kisha awekwe kwenye eneo la wazi ili kila mwenye hasira naye akamrushie jiwe. Japokuwa hii hukumu bado itakuwa ndogo sana Kwa Uharamia aliofanya..
Ukilisoma bandiko, utaona nimesema ni uthubutu wa nini.Bila shaka ulimaanisha uthubutu wa kitenda uovu.
kawazidi mashosti kibao wa bongo fleva, jishepu wenyewe wanaita.ila ana shep hata kutuzidi sisi.
Hilo ndiyo swali gumu. Na sasa wanajisikiaje?Ni kwanini polisi, Takukuru na a Waziri Mkuu walishindwa kumsaidia mzee Lyimo?
Akili inaniambia kuwa pengine alikuwa na ngome ngumu zaidi ya hao polisi.Ni kwanini polisi, Takukuru na a Waziri Mkuu walishindwa kumsaidia mzee Lyimo?
Watu dizaini hii ndio alikuwa anawapendaMagufuli atakuwa alilishwa limbwata na wasaidizi wake haiwezekani mambo kam haya yatokee na awe kimya kias kile dah?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Magufuli atakuwa alilishwa limbwata na wasaidizi wake haiwezekani mambo kam haya yatokee na awe kimya kias kile dah?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Achana na Huyo mzee mpuuzi .Alafu Pascal Mayalla mambo kama hayo anayaita uthubutu kiasi cha kupendeza bashite nae awe rais!!
Uthubutu bila maadili ni jehenamu kwa waathirika wa uthubutu wa mthubutu.Ukilisoma bandiko, utaona nimesema ni uthubutu wa nini.
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
Wanabodi, Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" boldness and sometimes unreasonably boldness...www.jamiiforums.com
P
Kwa sababu walikua wanafuata maagizo kutoka juu, kwa aliyekua anaajita mtetezi wa wanyonge...Ni kwanini polisi, Takukuru na a Waziri Mkuu walishindwa kumsaidia mzee Lyimo?
Tunatakiwa kuendeleza legacyKwa sababu walikua wanafuata maagizo kutoka juu, kwa aliyekua anaajita mtetezi wa wanyonge...
Alikuwa mbululaHuyu Dogo alikua fala sana, alikua anafanya matukio na Anaacha ushahidi.
Endelea kufundisha twishenni sabaya ni jambazi lisilo vumilika hata kidogo wacha nayeye aone cha mtema kuniMambo ya kutengeneza hayo, hamna ushahidi wa kutosha kuhusu kijana msafi Sabaya.
Hapana..... Msema kweli ni mpenzi wa Mungu au uongo ndugu zangu.....Magufuli atakuwa alilishwa limbwata na wasaidizi wake haiwezekani mambo kam haya yatokee na awe kimya kias kile dah?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app