Hongera CP Hamduni Salum kwa kumpigia simu Elioth Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la uchunguzi

Sabaya inabidi afungwe maisha maana mambo aliyoyafanya yanatisha.

Japo sabaya alifanya mambo ya kutisha lakini hajamzidi Daudi Albert Bashite.
 
Umetaja sifa zote za mwendazake hao wengine wote walikua wanajifunza kwake
 
Hii yote aliridhi kwa mwendazake
 
Ile inayochezea vitasa jehanam
 
Nchi ilikuwa mikononi mwa viongozi wanyanganyi, tutaendelea kuona vitu vya kustajabisha yaliyotendeka ndani ya utawala wa awamu ya tano ya Mwendazake.
 
Isee....kiwango cha ubinafsi bongo ni kikubwa mno😥
Kama kweli Lema alilifikisha kwa kiranja wa mawaziri na akawa kimya.....🤔🤔🤔
Halafu huko mbeleni kuna vilaza watakuja kuibuka kuwa huyu bwana anafaa kuwa rais wa bongo!!!
 
Bank inakuwaje kutoa taarifa za mgonjwa! Maajabu hayajakwisha Tz
 
Swali zuri sana hili!! Naomba lijibiwee!!
Wote walikuwa wateule wa jiwe,hawakuwa na mamlaka.
Sabaya alikuwa mteule kama PM
Mwamuzi alikuwa mmoja tu KATIBA YETU
 
Daah, angalau sasa nchi yangu inaelekea kwenye haki ile hali ilikuwa sio, ashukuriwe mingi, daah
 
Huyu mjuba ingepaswa apewe hukumu ya kifo cha kupigwa mawe tu. Kisha awekwe kwenye eneo la wazi ili kila mwenye hasira naye akamrushie jiwe. Japokuwa hii hukumu bado itakuwa ndogo sana Kwa Uharamia aliofanya..
Na angewekwa pale Moshi mjini akagongwa mawe, watu wangesafiri angalau kurusha hata jiwe moja.
 
Bado Kuna mtu atasema mwaka 2015 tulipata mgeni mwenye maono...shubamiti[emoji24]..
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hivi ina maana huko PCCB hakuna aliyekuwa analijua hili? shame!!!SSH tuletee wazenj zaidi huku haya mengine ya huku bara ni majizi na manafiki tu.
Sawa kabisa Mie SASA hivi akiteua muislamu nakuwa na furaha maana tuna uhakika WA usalama. Awajaze Tu Sisi furaha mbele.
 
Daaaaah [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…