Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Of course anaishi milele kwa sasa ni kiongozi wa malaikaKichwani Ni bogus, halafu pia Ni kusudi la Mungu, na kingine alijua Magufuli labda ataishi milele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Of course anaishi milele kwa sasa ni kiongozi wa malaikaKichwani Ni bogus, halafu pia Ni kusudi la Mungu, na kingine alijua Magufuli labda ataishi milele
Umetaja sifa zote za mwendazake hao wengine wote walikua wanajifunza kwakeHivi haya mambo ni ya kweli...?
Hivi huyu jamaa kweli alifanya yote haya anayotuhumiwa..?
Kama ndivyo, basi;
1. Huyu mtu alikuwa jambazi wala siyo kiongozi..!!
2. Huyu mtu alikuwa ni SHETANI katika sura ya BINADAMU...!!
This man deserves to be punished. He deserves to pay for his actions...
Hii yote aliridhi kwa mwendazakeNapenda kutumia fursa hii kumpongeza kwa dhati Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni kwa kumpigia simu mzee Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la uchunguzi.
Mzee Lyimo ni mfanyabiashara ambaye aliporwa TZS 25M na aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya. Inaelezwa kuwa Sabaya alikua na desturi ya kufuatilia akaunti za wafanyabiashara wakubwa na kujua kiasi walichonacho bank.
Baada ya kufuatilia akaunti ya mzee Lyimo na kujiridhisha kuwa ana "mzigo wa kutosha" bank, alimvamia nyumbani kwake akiwa na mabaunsa, pamoja na askari polisi wa kituo cha polisi Bomang'ombe. Askari hao walibaki nje ya geti wakiwa kwenye gari. Inadaiwa Sabaya aliambatana na Juma Rahibu ambaye kwa sasa ni Meya wa Moshi.
Waliingia ndani wakiwa na mabegi mawili. Walitoa silaha na kuwaweka chini ya ulinzi familia nzima. Kisha wakamchukua mzee Lyimo na kuzungumza nae. Sabaya akamwambia "nahitaji 25M sasa hivi, ama nikukabidhi haya mabegi yawe yako"
Akafungua kumuonesha begi moja lina bangi na jingine lina mirungi. Mzee Lyimo akaona anatengenezewa kesi ya madawa ya kulevya ambayo haina dhamana. Na ukizingatia umri wake anaweza kufia gerezani. Basi akakubali kutoa kiasi hicho cha pesa.
Sabaya akaagiza polisi waliokua nje na "difenda" wamsindikize bank, ambapo alienda kutoa kiasi hicho cha pesa na kuja kumkabidhi Sabaya. Matukio yote yalirekodiwa kwenye CCTV za nyumbani kwa mzee Lyimo lakini Sabaya wala hakujali. Alijua mamlaka inayomlinda ni kubwa sana.
Hata hivyo mzee Lyimo hakuridhika na akaamua kutafuta haki yake kimyakimya. Akaenda kuripoti TAKUKURU lakini hawakumsaidia, akaripoti polisi hawakumsaidia. Baadae akamwambia Godbless E.J. Lema ambaye alilifikisha kwa Waziri mkuu lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.
Sasa baada ya Sabaya kukamatwa, Lema akaamua kuandika tweet ya kukumbushia haki ya mzee Lyimo. Baada ya kuona tweet hiyo mamlaka zimeanza kuchukua hatua. CP Hamduni amempigia simu mzee Lyimo na tayari TAKUKURU Kilimanjaro wameshafungua jalada. Hongera sana Hamduni, naamini mzee Lyimo atapata haki yake.
View attachment 1818470
Ile inayochezea vitasa jehanamAkili inaniambia kuwa pengine alikuwa na ngome ngumu zaidi ya hao polisi.
Alikuwa na ngome ngumu zaidi ya waziri mkuu.
Alikuwa na gome ngumu zaidi ya takukuru.
Hawa ngome hizi zote katika wakati ule zilikuwa zinacheza kwa step kweli kweli yaani.
Swali ni je ngome ngumu hiyo ni ipi ?
Good👍👍Ndiyo maana Corona ikaamua kupita naye
Wote walikuwa wateule wa jiwe,hawakuwa na mamlaka.Swali zuri sana hili!! Naomba lijibiwee!!
Cheki huyu tutusaYeye mwenyewe alikuwa ni mwizi na jambazi mkubwa na ameliibia Taifa trillions tangu awamu ya Mkapa hadi alipofariki.
Na angewekwa pale Moshi mjini akagongwa mawe, watu wangesafiri angalau kurusha hata jiwe moja.Huyu mjuba ingepaswa apewe hukumu ya kifo cha kupigwa mawe tu. Kisha awekwe kwenye eneo la wazi ili kila mwenye hasira naye akamrushie jiwe. Japokuwa hii hukumu bado itakuwa ndogo sana Kwa Uharamia aliofanya..
Alafu Pascal Mayalla mambo kama hayo anayaita uthubutu kiasi cha kupendeza bashite nae awe rais!!
Sawa kabisa Mie SASA hivi akiteua muislamu nakuwa na furaha maana tuna uhakika WA usalama. Awajaze Tu Sisi furaha mbele.Hivi ina maana huko PCCB hakuna aliyekuwa analijua hili? shame!!!SSH tuletee wazenj zaidi huku haya mengine ya huku bara ni majizi na manafiki tu.
Daaaaah [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi naamini nilichoambiwa kuhusu marehemu, ilikuwa ni kweli. Sidhani kama marehemu, wakati wote alikuwa katika ufahamu wake. Na yeye mwenyewe aliwahi kudokeza mara mbili:
"Itategemea hiyo siku nimeamkaje"
" Nimekuteua wewe Mpina kwa sababu wewe ni kichaa mwenzangu'