cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wamepitwa kina wema, Vanessa, nandy, mobetto.kawazidi mashosti kibao wa bongo fleva, jishepu wenyewe wanaita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wamepitwa kina wema, Vanessa, nandy, mobetto.kawazidi mashosti kibao wa bongo fleva, jishepu wenyewe wanaita.
Kwa sababu aliyedhulumiwa alikuw Mchagga kwake Magufuli aliona ni sawa tu. Magufuli alikuwa disgrace kwa human race
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaah
Hakuna utendaji kazi wa hivo mkuu acheni siasa za hivo malalamiko huwa yanawakilishwa kwenye ofisi husika ofisi hazipo daresalaam tu hata mikoan kama alikuwa mfanyabiashara hawezi kushindwa kuwasilisha malalamiko yake kwenye vyombo husika siyo habari za kwenye tweeter za lema acheni chuki zisizo na msingi na cp hamd na amini hawezi fanya upumbavu wa na namna hiyo, mtoa taarifa kupitia tweeter yupo ukimbizini anaandika namba za simu za mlengwa na maana mlengwa mwenyewe hawez fikisha malalamiko yake sehemu husika; hizo biashara yeye anazifanyaje kama anaweza shindwa kufanya hayo hadi awatumie wanasiasa uchwaraNapenda kutumia fursa hii kumpongeza kwa dhati Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni kwa kumpigia simu mzee Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la uchunguzi.
Mzee Lyimo ni mfanyabiashara ambaye aliporwa TZS 25M na aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya. Inaelezwa kuwa Sabaya alikua na desturi ya kufuatilia akaunti za wafanyabiashara wakubwa na kujua kiasi walichonacho bank.
Baada ya kufuatilia akaunti ya mzee Lyimo na kujiridhisha kuwa ana "mzigo wa kutosha" bank, alimvamia nyumbani kwake akiwa na mabaunsa, pamoja na askari polisi wa kituo cha polisi Bomang'ombe. Askari hao walibaki nje ya geti wakiwa kwenye gari. Inadaiwa Sabaya aliambatana na Juma Rahibu ambaye kwa sasa ni Meya wa Moshi.
Waliingia ndani wakiwa na mabegi mawili. Walitoa silaha na kuwaweka chini ya ulinzi familia nzima. Kisha wakamchukua mzee Lyimo na kuzungumza nae. Sabaya akamwambia "nahitaji 25M sasa hivi, ama nikukabidhi haya mabegi yawe yako"
Akafungua kumuonesha begi moja lina bangi na jingine lina mirungi. Mzee Lyimo akaona anatengenezewa kesi ya madawa ya kulevya ambayo haina dhamana. Na ukizingatia umri wake anaweza kufia gerezani. Basi akakubali kutoa kiasi hicho cha pesa.
Sabaya akaagiza polisi waliokua nje na "difenda" wamsindikize bank, ambapo alienda kutoa kiasi hicho cha pesa na kuja kumkabidhi Sabaya. Matukio yote yalirekodiwa kwenye CCTV za nyumbani kwa mzee Lyimo lakini Sabaya wala hakujali. Alijua mamlaka inayomlinda ni kubwa sana.
Hata hivyo mzee Lyimo hakuridhika na akaamua kutafuta haki yake kimyakimya. Akaenda kuripoti TAKUKURU lakini hawakumsaidia, akaripoti polisi hawakumsaidia. Baadae akamwambia Godbless E.J. Lema ambaye alilifikisha kwa Waziri mkuu lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.
Sasa baada ya Sabaya kukamatwa, Lema akaamua kuandika tweet ya kukumbushia haki ya mzee Lyimo. Baada ya kuona tweet hiyo mamlaka zimeanza kuchukua hatua. CP Hamduni amempigia simu mzee Lyimo na tayari TAKUKURU Kilimanjaro wameshafungua jalada. Hongera sana Hamduni, naamini mzee Lyimo atapata haki yake.
View attachment 1818470
ila marehemu.....Kwa sababu aliyedhulumiwa alikuw Mchagga kwake Magufuli aliona ni sawa tu. Magufuli alikuwa disgrace kwa human race
Halafu watu kama Mwendazake huwa hawakosi makanisani...na viongozi wa dini walikuwa wanamkubali sana , Duh dunia hiiSabaya alikuwa Ni jambazi, ila magufuli aisee,ona hata waziri mkuu alipelekewa malalamiko juu ya Sabaya,lakini akashindwa kuyafikisha kwa jiwe,aliogopa nayeye asije akapigwa chini,maana Magufuli watu dizaini ya Sabaya na matendo yao,yeye ndio alikuwa chaguo lake
Aisee kweli bora tuongozwe na wazenji wana hofu ya mungu kweli kweli uku kwetu bara wasanii wengi make hayo ya sabaya tu je na hao wengine tu tumeumia sana ndo mana mungu katuokoaHivi ina maana huko PCCB hakuna aliyekuwa analijua hili? shame!!!SSH tuletee wazenj zaidi huku haya mengine ya huku bara ni majizi na manafiki tu.
Hakuna utendaji kazi wa hivo mkuu acheni siasa za hivo malalamiko huwa yanawakilishwa kwenye ofisi husika ofisi hazipo daresalaam tu hata mikoan kama alikuwa mfanyabiashara hawezi kushindwa kuwasilisha malalamiko yake kwenye vyombo husika siyo habari za kwenye tweeter za lema acheni chuki zisizo na msingi na cp hamd na amini hawezi fanya upumbavu wa na namna hiyo, mtoa taarifa kupitia tweeter yupo ukimbizini anaandika namba za simu za mlengwa na maana mlengwa mwenyewe hawez fikisha malalamiko yake sehemu husika; hizo biashara yeye anazifanyaje kama anaweza shindwa kufanya hayo hadi awatumie wanasiasa uchwara
mporaji alikuwa na kibali cha raisNi kwanini polisi, Takukuru na a Waziri Mkuu walishindwa kumsaidia mzee Lyimo?
Hakuna utendaji kazi wa hivo mkuu acheni siasa za hivo malalamiko huwa yanawakilishwa kwenye ofisi husika ofisi hazipo daresalaam tu hata mikoan kama alikuwa mfanyabiashara hawezi kushindwa kuwasilisha malalamiko yake kwenye vyombo husika siyo habari za kwenye tweeter za lema acheni chuki zisizo na msingi na cp hamd na amini hawezi fanya upumbavu wa na namna hiyo, mtoa taarifa kupitia tweeter yupo ukimbizini anaandika namba za simu za mlengwa na maana mlengwa mwenyewe hawez fikisha malalamiko yake sehemu husika; hizo biashara yeye anazifanyaje kama anaweza shindwa kufanya hayo hadi awatumie wanasiasa uchwara