Hongera daughter. Division 2 ya point 20 from Kayumba School

Nina hakika huyo 4M4 Kayumba anapotezwa na dogo wa Kemiboss Grade 6. Kayumba nawajua
Tuangalie kemibos ama wale wote waliosoma prestige schools how are they doing at life, Wana innovation Gani waliyo impact the global,
Chambua ulete kuwa Fulani alisomea shule Fulani saivi umeona aliyoyafanya, kuna yule dogo mwenye NALA aliyeenda kufungulia ofisini Kenya tuone , je shule aliyotokea wapo wangapi Kama yeye,let us compare school fees and the performance at real life ili tuone Kama Iko related. We need watu watoe ushuhuda kuwa em zimewasaidiaje, tuje wabunge wetu tucheki waliosoma kayumba na em tufanye tupate ratio. Jamani kusoma sio gharama kabisa gharama ni mwanafunzi mwenyewe kukomaa kutafuta maarifa ambayo yapo available, mbona watu wanajisomea online na wanatoboa. Yaani watu wanakuza mno elimu na gharama, mie miaka sita yote Niko boarding sijatumia hata milioni ikafika jamani.
 
Mtoto/watoto wangu watasoma shule ya international penda msipende kuna raha zake bwana wengi tumejionea Mungu anisaidie
 
100% Fact
 
Kufaulu kwa kijanja sio kisifa , wewe unaambiwa kuwa A ni 75 wewe unapata 98 hizo zilizozidi hapo ni keherehere na kisabengo chako. Sie tunataka kiasi Fulani unazidisha ili iweje Kama nakumbuka nilikuwa mbadi mno fizikia adi necta nilikuwa nasovu kwa njia mbili swali moja napata jibu Lile yaani naandika alternatively kuonyesha kuwa sijabahatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…