Hongera DeepPond

Hongera DeepPond

Katika Jukwaa la MMU wewe ndiyo umekuwa kinara, nakupa hongera sana na Mungu akupe afya njema mwakani utuletee nyuzi zaidi.

Ila pia nikupe tahadhali kuwa makini na Mama J, ameshachukua namba yangu ya simu soon nitafanya upembuzi yakinifu😂😂😂 (Utani).

Yote kwa yote, HONGERA.
DeepPond kwa hyo kale ka ombi kako nmekakubalia. Ngoja nmshirikishe tajiri mmja.
To yeye njoo tupange mipango
 
DeepPond ukienda kuchukua zawadi yako nipitie hapa mbezi mimi ndio chawa wako bora [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom