Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
DeepPond kwa hyo kale ka ombi kako nmekakubalia. Ngoja nmshirikishe tajiri mmja.Katika Jukwaa la MMU wewe ndiyo umekuwa kinara, nakupa hongera sana na Mungu akupe afya njema mwakani utuletee nyuzi zaidi.
Ila pia nikupe tahadhali kuwa makini na Mama J, ameshachukua namba yangu ya simu soon nitafanya upembuzi yakinifu😂😂😂 (Utani).
Yote kwa yote, HONGERA.
To yeye njoo tupange mipango