Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

Unatakiwa uangalia tangazo mwanzo hadi mwisho na hii ndio sababu wengi hawapati.
Ndio maana nawaambia vijana hamna hela nyingi kihivyo huko you tube kama tunavyodanganywa kijiweni. Hawa wakinadiamond wanadili zao nyingine zakuwapa mahela mengi ila huko you tube tunapewa story za Rupia tu. Juzi hapa Harmonize kapewa dili CRDB mpunga aliopata naimani hata YouTube hawawezi kumpa ndani ya mwaka mzima kwenye album yake.
 
Aiseee nasi Millardi naye atafikisha 1bil mwezi ujao maana kabakiza 67000 tu
Hongera yake yule kila siku anapost nazani ndio atapongezwa sana maana ni muandishi wa habari sio kitu rahisi kabisa.
 
Kupiga mahesabu pesa za watu, lakini hesabu za serikali hatuzijui, ndio maana tunapigwa kodi zetu huku tunashangilia.
Mkuu serikalini huko kushawekwa sheria za kipuuzi za takwimu hatuna uhuru wa kuzichambua. Acha tujiachie huku, hata ukisema mond ana views 6 na kiba anazo 2 hufunguliwi kesi za kiboya. Huku ni stress free zone.
 
Kijana ana baraka kubwa sana
 
Mkuu samahani je unaweza kututajia huo mpunga alioupata Mzee wa Chitoholi ni kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…