Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

Msanii bora ni summation ya vitu vingi,hapo umegusa platform moja lkn kuna sportfy,Itunes,Tidal ,apple (Wizkid,Davido)ambazo wanalipa mgwanja mrefu kuliko youtube huko wasanii wa Nigeria ndio wana kimbiza even though hata huko Diamond anafanya vizuri.
unahisi Mond kazidiwa huko tu??
 
Tutumie kigezo gani ndugu?
1.Number of shows per year.
2.Venue zinapofanyikia show.
3.Chati katika vyombo vikubwa kama Trace na MTV.
4.Nominatons ktk awards kubwa na idadi ya tuzo.
5.Mauzo katika digital platforms zote eg Youtube,Itunea,Sportfy,Tidal,Apple,Deezer,Boomplay nk
6.Rotation ya nyimbo katika vyombo vikubwa vya burudani.
7.Kutokea katika majarida makubwa na website kubwa duniani.
8.Deal kutoka makampuni makubwa ya kimataifa.
 
1.Number of shows per year.
2.Venue zinapofanyikia show.
3.Chati katika vyombo vikubwa kama Trace na MTV.
4.Nominatons ktk awards kubwa na idadi ya tuzo.
5.Mauzo katika digital platforms zote egg Youtube,Itunea,Sportfy,Tidal,Apple,Deezer,Boomplay nk
6.Rotation ya nyimbo katika vyombo vikubwa vya burudani.
7.Kutokea katika majarida makubwa na website kubwa duniani.
8.Deal kutoka makampuni makubwa ya kimataifa.
Ww unahisi hapo Mond lazima atasubiri kwa Wizzy na Davido? Kwa kutazama mpangilio huo
 
Tutumie kigezo gani ndugu?

Ni sawa na kusema 6ixnine ni bora zaidi ya Kendrick kwa kigezo cha views za Youtube....Labda nisikuchoshe unaeza nitajia hata album moja tu ya Mond iliyofanikiwa zaidi hata ya superstar, album ya kwanza kabisa ya Wizkid.

Fall ya Davido juzi tu imefikisha mauzo yenye hadhi ya Platnum marekani...vipi kwa Mond...
Mond anajitahidi ila labda wakitoka wao na Burna ndo anafuatia
 
Umeongea vzr. kwahyo kina Wizzy wanampita wapi Mond??
 
Wizkid na Davido ni wakubwa hilo halina ubishi ila Mondi anajitahidi kwenda nao sambamba.
lkn safi nao kuna sehemu anawazidi Hado Subscriber anao zaidi ya Wizzy na Davido. juzi bilion 1 wakati Wizzy ana milion mia4 na80 Hata ukizidisha mara mbili bado hili nalo neno....
 
Umeongea vzr. kwahyo kina Wizzy wanampita wapi Mond??
Ok Diamond Youtube kaulpload video 650+ hapo akifanyiwa interview anaweka huko, Behind the scene ya video zake, jana wamemsapraizi wasafi media hiyo video kashaweka huko.

Mfano Wizkid ana video 14 to kwenye channel yake na ana views 479+m, sasa imagine angeweka shows, interviews,Behind the scenes zote...video hata mia tu angekua na views wangapi!
 
wewe ni maskini ndio mana umewaza hivyo na utaendelea kua maskini maisha yako yote hadi kufa kwako.
Unajua kwanini wewe ni masikini ambaye huna akili? ni masikini sababu umeshindwa kutafakari kwa kina kwamba mtu ambaye anaulizia youtube viewers wanakuwaje payable kwa idadi ya viewers na subscribers, pengine huyu mtu anataka kua na youtube channel yake hivyo anataka kujua stats hua zinaendaje, kama kuna mdau hapo juu ametoa na website kabisa inayoonesha kila kitu na unaweza ku search mtu yoyote hata wale wenye views wachache na subscribers wachache ..sasa sababu wewe ni maskini na huna tafakuri za mambo unaishia kuropoka tu ovyo, baki na umasikini wako wa kifikra na kimwili.
BilioneaPATIGOO umemjibu vizuri Sana Kuna baadhi ya member Wana akili ya kuvukia Barabara
 
Ok Diamond Youtube kaulpload video 650+ hapo akifanyiwa interview anaweka huko, Behind the scene ya video zake, jana wamemsapraizi wasafi media hiyo video kashaweka huko.

Mfano Wizkid ana video 14 to kwenye channel yake na ana views 479+m, sasa imagine angeweka shows, interviews,Behind the scenes zote...video hata mia tu angekua na views wangapi!
Wizzy video 14 tu??? Audio??
 
Kama ni 3000 kwa views 1000 basi malipo kwa 1mil views ni 3mil ambapo sio rahisi kama tunavyoandika hapa
ipo hivi

1.kitu cha kwanza watu wengi wanadhani pesa zinatoka kwa youtube, LA HASHA!! Youtube anasimamia malipo tu, youtube ni kama dalali maarufu anaewaunganisha wanaotaka kutangaziwa kwa mfano kwa hapa tanzania vodacom, tigo na makampuni mengine na hata wewe unaweza kuandaa tangazo lako ili utangaziwe bidhaa yako. youtube akipewa hilo tangazo atalipwa kwa kigezo cha kwa kila views elf 1,

youtube ataingia mkataba na wenye channel za youtube kama kina diamond, millardayo, middle simba, n.k kwa hiari yao wakubali kwamba matangazo ya vodacom yatakua yakionekana kwenye video zao kabla hazija play au pembeni mwa video, aina maarufu ya matangazo ni yale yanayoonekana kabla video haijaanza huwa kuna kitufe cha kuruka tangazo.

vodacom anaweza kulipa elf 4 kwa watu elfu moja wataoliona tangazo hapo youtube kwenye kabla hawajatazama video au pembezoni mwa video zinapocheza, youtube atachukua kama asilimia 30 ya hio elf 4 na diamond huchukua asilimia 70 ya mapato hayo, kwahio kwamfano video ya diamond ikionesha tangazo kwa watu milioni mfano kwenye video ya jeje, diamond atapokea kama milioni 30.

youtube wanalipa kulingana na tangazo limeonekana mara ngap sjo kwa idadi ya views, katika views milioni 1 tangazo linaweza kuonekana kwa watazamaji laki saba,
 
Unatakiwa uangalia tangazo mwanzo hadi mwisho na hii ndio sababu wengi hawapati.
Sasa twende mwendo wa cross multiplications. Sasa Kama views mil 1= tsh 400000#
Video ya Jeje ina views mil 20 hadi sasa hapo maana yake diamond atapata mil 8 tsh katika video ya jeje. Story za abunuasi zinakuja wapi chief.

Katika hao watu mil 20 waliotazama video ya jeje inabidi waliangalie tangazo litakalowekwa kwenye hiyo video ya jeje bila ku skip tangazo. Sasa mm hapa nimeangalia video bila kuangalia tangazo. Ndio maana watu tunamashaka na youtube wanawaibia wasanii. Pesa kama wanapata wasanii basi ni kidogo sana tofauti na tunavyoaminishwa vijiweni. Mm bado nitaamini mikataba ya ubalozi wa makampuni na show ndio zinawalipa sana wasanii kuliko YouTube
 
Back
Top Bottom