Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

ipo hivi

1.kitu cha kwanza watu wengi wanadhani pesa zinatoka kwa youtube, LA HASHA!! Youtube anasimamia malipo tu, youtube ni kama mtu anaewaunganisha wanaotaka kutangaziwa kwa mfano kwa hapa tanzania vodacom, tigo na makampuni mengine na hata wewe unaweza kuandaa tangazo lako ili utangaziwe. youtube akipewa hjlo tangazo na kulipwa, youtube ataingia mkataba na wenye channel za youtube kama kina diamond, millardayo, middle simba, n.k kwa hiari yao wakubali kwamba matangazo ya vodacom yatakua yakionekana kwenye video zao, aina maarufu ya matangazo ni yale yanayoonekana kabla video haijaanza huwa kuna kitufe cha kuruka tangazo. mfano vodacom anaweza kulipa elf 4 kwa watu elfu moja wataoliona tangazo hapo youtube ambae ni kama dalali aliewaunganisha anaetaka kutangazwa na ambae atamtangazia (diamond) youtube atachukua kama asilimia 30 ya hio elf 4 na diamond huchukua asilimia 70 ya mapato hayo, kwahio kwamfano video ya diamond ikionesha tangazo kwa watu milioni mfano kwenye video ya jeje, diamond atapokea kama milioni 30.

2. youtube wanalipa kulingana na tangazo limeonekana mara ngap sjo kwa idadi ya views, katika views milioni 1 tangazo linaweza kuonekana kwa watazamaji laki saba, hivyo mfano ili tangazo lifikie watu milioni 10 ili diamond alipwe hio mili
thanks mkuu umefafanua nimeelewa sasa

Sent
 
Views ml 1 ni lak nne na kidogo ukizisha hapo jibu utalipata

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Sasa twende mwendo wa cross multiplications. Sasa Kama views mil 1= tsh 400000#
Video ya Jeje ina views mil 20 hadi sasa hapo maana yake diamond atapata mil 8 tsh katika video ya jeje. Story za abunuasi zinakuja wapi chief.

Katika hao watu mil 20 waliotazama video ya jeje inabidi waliangalie tangazo litakalowekwa kwenye hiyo video ya jeje bila ku skip tangazo. Sasa mm hapa nimeangalia video bila kuangalia tangazo. Ndio maana watu tunamashaka na youtube wanawaibia wasanii. Pesa kama wanapata wasanii basi ni kidogo sana tofauti na tunavyoaminishwa vijiweni. Mm bado nitaamini mikataba ya ubalozi wa makampuni na show ndio zinawalipa sana wasanii kuliko YouTube
 
Ni ngumu sana kujua mkuu maana pia Youtube wanalipa kutokana na location ya watazamaji ina matter. Aliyetazama video na tangazo akiwa US yani watazamaji tokea US wanakupa mapato zaidi kuliko wa TZ.

Lakini roughly inaweza fika zaidi ya dollar 2,000,0000

Mkuu hii ni milioni ngapi 2 au 20?
 
Waarabu nyimbo zao nyingi Zina viewers wengi kuliko wasanii wote wa east,west and central Africa ila tatizo lao hawatambuliki kwenye soko la sub-saharani kwahiyo sio kosa la mtoa mada kosa Ni lao hao wasanii wa kiarabu kujitengenezea dunia yao Pekee yao
Mkuu, Kwa bahati mbaya kulingana na matakwa ya Youtube hauwezi kutengeneza fedha unayoitegemea kwa kutegemea tu Idadi ya watazamaji ulionao tu.
 
Ikiwa leo tarehe 10 - 6 - 2020 saa kumi kasorobo hizi ndio views za baadhi ya wasanii maarufu afrika, (Tukiachana na aarabu wa mirsro, morocco, runisia, n.k)

Diamond - 1,000,391,358 views, subscribers milioni 3.68
Burna Boy - 505,608,298 views, subscribers milioni 1.14
Davido - 617,179,994 views, subscribers milioni 1.73
Wizkid - 478,930,227 views, subscribers milioni 1.21
Tiwa Savae - 239,121,744 views, subscribers milioni laki 6.13
Harmonize- 393,075,641 views, subscribers milioni 1.75

Kama kuna msanii yeyote unaehisi huenda kasahaulika na kumpita diamond, ruksa kumweka

POVU RUKSA!
Wapi King Kibaa [emoji1787][emoji1787]
 
Kiba yeye anaweka music tu youtube sasa huyu mondi hata akivaa kiatu kipya ataweka video youtube , mtoto wa uncle wake akiwa na birthday party basi ataupload , akinunua bajaji lazima aweke.. ndio maana ana views nyingi , lakini content ya muziki views hazizidi mil 200"

Alisikika shabiki mmoja wa kiba akiongea kwa uchungu
 
Diamond Platinumz amefikisha views bilion1 huko Youtube kwa video zake zote. hapa anahitaji pongezi hata za kinafiki(haters)

Tukitumia kigezo hicho kwamba Mond ni zaidi ya Davido na Wizkid tutakosea?

Tumpe no1 Afrika kwa sababu hiyo. Bilion 1 si mchezo.
 
Diamond Platinumz amefikisha views bilion1 huko Youtube kwa video zake zote. hapa anahitaji pongezi hata za kinafiki(haters)


Tukitumia kigezo hicho kwamba Mond ni zaidi ya Davido na Wizkid tutakosea?


Tumpe no1 Afrika kwa sababu hiyo. Bilion 1 si mchezo.

Sawa ila hapo kwenye kumueka juu ya Wizkid na Davido kwa kigezo cha views Billion ndo unapokosea
 
Diamond Platinumz amefikisha views bilion1 huko Youtube kwa video zake zote. hapa anahitaji pongezi hata za kinafiki(haters)


Tukitumia kigezo hicho kwamba Mond ni zaidi ya Davido na Wizkid tutakosea?


Tumpe no1 Afrika kwa sababu hiyo. Bilion 1 si mchezo.
Msanii bora ni summation ya vitu vingi,hapo umegusa platform moja lkn kuna sportfy,Itunes,Tidal ,apple (Wizkid,Davido)ambazo wanalipa mgwanja mrefu kuliko youtube huko wasanii wa Nigeria ndio wana kimbiza even though hata huko Diamond anafanya vizuri.
 
Back
Top Bottom