Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16]kuna tofauti ya msanii bongoland na mwanamusic amarica.Sema life is not fair kabisa. Eti ukijumlisha contents zake zoote takriban 100 unapata 1B views, ila wenzetu 1B wanapata kwa ngoma moja tu bas.
bado shida iko,hivi unajua hat pay per view youtube bongo ni hela ndogo zaidi ya nusu wanayolipa nchi nyingine[emoji16][emoji16][emoji16].Mbona sielewi ndg Papi Chulo, kama angekuwa michael Jackson kuwapita hao buna au wizk ingekuwa sawa ila kwa sababu ni mtanganyika viewers haina mpango duuh[emoji849][emoji849]!!
Aliitumia vyema mbeleko.Harmonise anajitahidi ingawa kasaidiwa na Diamond
Jiunge na wew .....in magufuli voiceDuhh! Kama kweli Freemason inasaidia basi jamaa anaifaidi Freemason!
Kwani hao Ni wasanii hao hata kwenye tuzo kubwa Kama BET hawashirikishwi hata kutajwa hawatajwiKwa hiyo umeamua kuwatoa waMisri, wamorocco na watunisia....
Paragraph ya kwanza ya mtoa mada inanipa maana kuwa huenda kuna wasanii wenye viewers wengi kutoka katika hizo nchi za kiarabu kuliko hao aliowataja, ila kaamua kuwaweka pembeni kwanza.Kwani hao Ni wasanii hao hata kwenye tuzo kubwa Kama BET hawashirikishwi hata kutajwa hawatajwi
YaaapItapendeza zaidi [emoji1787]
Waarabu nyimbo zao nyingi Zina viewers wengi kuliko wasanii wote wa east,west and central Africa ila tatizo lao hawatambuliki kwenye soko la sub-saharani kwahiyo sio kosa la mtoa mada kosa Ni lao hao wasanii wa kiarabu kujitengenezea dunia yao Pekee yaoParagraph ya kwanza ya mtoa mada inanipa maana kuwa huenda kuna wasanii wenye viewers wengi kutoka katika hizo nchi za kiarabu kuliko hao aliowataja, ila kaamua kuwaweka pembeni kwanza.
Au wewe umeelewaje mkuu Innocent
Na pesa yote wangekula kina Salam na Babu tale..Bora sasa anaona faida ya hizo viewsangekuwa bado wcb angefika hata half billion
sasa hv views zake ni za kuungaunga bora kiwe kingi mgawane gawio linaweza kuwa kubwaNa pesa yote wangekula kina Salam na Babu tale..Bora sasa anaona faida ya hizo views
Mbona diamond nae ana mameneja watatu plus wafanyakazi Kama madancers,producers,productio video na office kiujumla lakini still ni tajiriNa pesa yote wangekula kina Salam na Babu tale..Bora sasa anaona faida ya hizo views
Mawazo ya kimasikini.Duhh! Kama kweli Freemason inasaidia basi jamaa anaifaidi Freemason!
Ni ngumu sana kujua mkuu maana pia Youtube wanalipa kutokana na location ya watazamaji ina matter. Aliyetazama video na tangazo akiwa US yani watazamaji tokea US wanakupa mapato zaidi kuliko wa TZ.
Lakini roughly inaweza fika zaidi ya dollar 2,000,0000