Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

Mbona sielewi ndg Papi Chulo, kama angekuwa michael Jackson kuwapita hao buna au wizk ingekuwa sawa ila kwa sababu ni mtanganyika viewers haina mpango duuh[emoji849][emoji849]!!
bado shida iko,hivi unajua hat pay per view youtube bongo ni hela ndogo zaidi ya nusu wanayolipa nchi nyingine[emoji16][emoji16][emoji16].

naona wamegutuka speed yetu kuangalia video youtube si ya kawaida.tunaweza wafilisi
 
Kwani hao Ni wasanii hao hata kwenye tuzo kubwa Kama BET hawashirikishwi hata kutajwa hawatajwi
Paragraph ya kwanza ya mtoa mada inanipa maana kuwa huenda kuna wasanii wenye viewers wengi kutoka katika hizo nchi za kiarabu kuliko hao aliowataja, ila kaamua kuwaweka pembeni kwanza.
Au wewe umeelewaje mkuu Innocent
 
Paragraph ya kwanza ya mtoa mada inanipa maana kuwa huenda kuna wasanii wenye viewers wengi kutoka katika hizo nchi za kiarabu kuliko hao aliowataja, ila kaamua kuwaweka pembeni kwanza.
Au wewe umeelewaje mkuu Innocent
Waarabu nyimbo zao nyingi Zina viewers wengi kuliko wasanii wote wa east,west and central Africa ila tatizo lao hawatambuliki kwenye soko la sub-saharani kwahiyo sio kosa la mtoa mada kosa Ni lao hao wasanii wa kiarabu kujitengenezea dunia yao Pekee yao
 
Na pesa yote wangekula kina Salam na Babu tale..Bora sasa anaona faida ya hizo views
Mbona diamond nae ana mameneja watatu plus wafanyakazi Kama madancers,producers,productio video na office kiujumla lakini still ni tajiri
 
Basi kina Bieber wana mkwanja aisee
Ni ngumu sana kujua mkuu maana pia Youtube wanalipa kutokana na location ya watazamaji ina matter. Aliyetazama video na tangazo akiwa US yani watazamaji tokea US wanakupa mapato zaidi kuliko wa TZ.
Lakini roughly inaweza fika zaidi ya dollar 2,000,0000
 
Back
Top Bottom