Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

Watu wanajaza saver tu hapa, mdau kauliza swali ila majibu yaneleta mbu 😑!
 
Tumia Social Blade Chrome Extension au ( http://socialblade.com )

Inatoa makadirio ya kiasi cha pesa channel husika inatengeneza kwa mwezi.

In Short, Views wa kibongo huwezi kupata pesa ya kutisha. Mtu mwenye views laki , wa US/EUROPE anakuzidi au mtalingana na wewe mwenye views Milioni Wa Kibongo.

In Short, Wasanii wakomae na strems na mauzo ya singles mambo ya views waachie YouTubers.
asante umenijibu kwa evidence

Screenshot_20200610-192116_1.jpg
 
Back
Top Bottom