Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

Ikiwa leo tarehe 10 - 6 - 2020 saa kumi kasorobo hizi ndio views za baadhi ya wasanii maarufu afrika, (Tukiachana na Waarabu wa Misri, Morocco, Tunisia, n.k)

Diamond - 1,000,391,358 views, subscribers milioni 3.68
Burna Boy - 505,608,298 views, subscribers milioni 1.14
Davido - 617,179,994 views, subscribers milioni 1.73
Wizkid - 478,930,227 views, subscribers milioni 1.21
Tiwa Savage - 239,121,744 views, subscribers milioni laki 6.13
Harmonize- 393,075,641 views, subscribers milioni 1.75

Kama kuna msanii yeyote unaehisi huenda kasahaulika na kumpita Diamond, ruksa kumweka

POVU RUKSA!
 
Kijana huyu anajua thamani yake na kuitumia pia.Wenye YouTube channels washaiona thamani ya mondi ndomana leo kila video vixen wa WCB wanamfuata kufanya naye interview na wanapata views wa kutosha.
 
Tumia Social Blade Chrome Extension au ( http://socialblade.com )

Inatoa makadirio ya kiasi cha pesa channel husika inatengeneza kwa mwezi.

In Short, Views wa kibongo huwezi kupata pesa ya kutisha. Mtu mwenye views laki , wa US/EUROPE anakuzidi au mtalingana na wewe mwenye views Milioni Wa Kibongo.

Wasanii wangekomaa na streams na mauzo ya singles mambo ya views waachie YouTubers.
 
Back
Top Bottom