Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

Ni ngumu sana kujua mkuu maana pia Youtube wanalipa kutokana na location ya watazamaji ina matter. Aliyetazama video na tangazo akiwa US yani watazamaji tokea US wanakupa mapato zaidi kuliko wa TZ.
Lakini roughly inaweza fika zaidi ya dollar 2,000,0000
Acha haya mambo mkuu dollar 2,000,000/=
Si pesa ndogo aisee.Ni 4,600,000,000.
Means 4.6B...
 
Paragraph ya kwanza ya mtoa mada inanipa maana kuwa huenda kuna wasanii wenye viewers wengi kutoka katika hizo nchi za kiarabu kuliko hao aliowataja, ila kaamua kuwaweka pembeni kwanza.
Au wewe umeelewaje mkuu Innocent
Waarabu nyimbo zao nyingi Zina viewers wengi kuliko wasanii wote wa east,west and central Africa ila tatizo lao hawatambuliki kwenye soko la sub-saharani kwahiyo sio kosa la mtoa mada kosa Ni lao hao wasanii wa kiarabu kujitengenezea dunia yao Pekee yao
Waarabu wa misri, morocco, tunisia, n. k tupo nao tu bara moja, wana tamaduni na lugha ambazo kwa waafrika wengi hasa waeusi tupo tofauti, hata mwarabu wa egypt akienda marekani hawezi kuitwa nigga ila sisi ni mule mule
 
Mwanangu kingkiba Yebaba kwenye Ile ngoma yake moja tu USINISEMEE alifikishwa views Billions 2 Sema hapendi SHOW OFF tu
 
Waarabu wa misri, morocco, tunisia, n. k tupo nao tu bara moja, wana tamaduni na lugha ambazo kwa waafrika wengi hasa waeusi tupo tofauti, hata mwarabu wa egypt akienda marekani hawezi kuitwa nigga ila sisi ni mule mule

tafautisha baina muafrica na mbantu, waweza kuwa muafrica ukawa muarabu, muhindi, mzungu.
 
Acha haya mambo mkuu dollar 2,000,000/=
Si pesa ndogo aisee.Ni 4,600,000,000.
Means 4.6B...
Yes ulidhani nimeandika bahati mbaya? Watu wanapiga ela ya maana sana youtube sana tu. Ni ngumu sana kujua mtu amengiza kiasi gani lakini malipo ni between 1-3 USD kwa 1000 views, japo nako kuna mengi ya kuzingatia kama mtazamaji anatoka wapi, je ametazama tangazo kwa sekunde thelathini, au amelibonyeza tangazo. Hayo ndiyo yana determine kiasi cha ela mtu atakacholipwa. So kwa ku estimate you can do your maths.
Wamarekani wenye Youtube channels zenye subscribers hata laki moja wakawa wanapost videos ambapo video moja haikosi viewers hata milion moja ujue huyo mtu anapata ela nzuri sana.
 
Kupiga mahesabu pesa za watu, lakini hesabu za serikali hatuzijui, ndio maana tunapigwa kodi zetu huku tunashangilia.

anyway ukishajua unataka akakuoe?
 
Kupiga mahesabu pesa za watu, lakini hesabu za serikali hatuzijui, ndio maana tunapigwa kodi zetu huku tunashangilia.

anyway ukishajua unataka akakuoe?
wewe ni maskini ndio mana umewaza hivyo na utaendelea kua maskini maisha yako yote hadi kufa kwako.
Unajua kwanini wewe ni masikini ambaye huna akili? ni masikini sababu umeshindwa kutafakari kwa kina kwamba mtu ambaye anaulizia youtube viewers wanakuwaje payable kwa idadi ya viewers na subscribers, pengine huyu mtu anataka kua na youtube channel yake hivyo anataka kujua stats hua zinaendaje, kama kuna mdau hapo juu ametoa na website kabisa inayoonesha kila kitu na unaweza ku search mtu yoyote hata wale wenye views wachache na subscribers wachache ..sasa sababu wewe ni maskini na huna tafakuri za mambo unaishia kuropoka tu ovyo, baki na umasikini wako wa kifikra na kimwili.
 
Yule angeshapost kama kulipa kodi ya 54mil akapost

Mi nataka kujua tu, kwa mfano mtu akishalipwa pesa na YouTube ambao wako huko USA, serikali ya Tanzania nayo inachukua kodi kutoka kwenye pesa hiyo, au inakuwaje? Maana nina uhakika serikali ya USA pia lazima ikate kodi kutoka kwenye pesa hizohizo.
 
sikutegemea kijana kama wewe kutaka kujua kiasi anachoingiza mwanaume mwenzio kiukwel nimeona aibu mimi
wewe ni maskini ndio mana umewaza hivyo na utaendelea kua maskini maisha yako yote hadi kufa kwako.
Unajua kwanini wewe ni masikini ambaye huna akili? ni masikini sababu umeshindwa kutafakari kwa kina kwamba mtu ambaye anaulizia youtube viewers wanakuwaje payable kwa idadi ya viewers na subscribers, pengine huyu mtu anataka kua na youtube channel yake hivyo anataka kujua stats hua zinaendaje, kama kuna mdau hapo juu ametoa na website kabisa inayoonesha kila kitu na unaweza ku search mtu yoyote hata wale wenye views wachache na subscribers wachache ..sasa sababu wewe ni maskini na huna tafakuri za mambo unaishia kuropoka tu ovyo, baki na umasikini wako wa kifikra na kimwili.
 
Mi nataka kujua tu, kwa mfano mtu akishalipwa pesa na YouTube ambao wako huko USA, serikali ya Tanzania nayo inachukua kodi kutoka kwenye pesa hiyo, au inakuwaje? Maana nina uhakika serikali ya USA pia lazima ikate kodi kutoka kwenye pesa hizohizo.
asante, nilitegemea swali kama hili

]
 
Mi nataka kujua tu, kwa mfano mtu akishalipwa pesa na YouTube ambao wako huko USA, serikali ya Tanzania nayo inachukua kodi kutoka kwenye pesa hiyo, au inakuwaje? Maana nina uhakika serikali ya USA pia lazima ikate kodi kutoka kwenye pesa hizohizo.
ipo hivi

1.kitu cha kwanza watu wengi wanadhani pesa zinatoka kwa youtube, LA HASHA!! Youtube anasimamia malipo tu, youtube ni kama dalali maarufu anaewaunganisha wanaotaka kutangaziwa kwa mfano kwa hapa tanzania vodacom, tigo na makampuni mengine na hata wewe unaweza kuandaa tangazo lako ili utangaziwe bidhaa yako. youtube akipewa hilo tangazo atalipwa kwa kigezo cha kwa kila views elf 1,

youtube ataingia mkataba na wenye channel za youtube kama kina diamond, millardayo, middle simba, n.k kwa hiari yao wakubali kwamba matangazo ya vodacom yatakua yakionekana kwenye video zao kabla hazija play au pembeni mwa video, aina maarufu ya matangazo ni yale yanayoonekana kabla video haijaanza huwa kuna kitufe cha kuruka tangazo.

vodacom anaweza kulipa elf 4 kwa watu elfu moja wataoliona tangazo hapo youtube kwenye kabla hawajatazama video au pembezoni mwa video zinapocheza, youtube atachukua kama asilimia 30 ya hio elf 4 na diamond huchukua asilimia 70 ya mapato hayo, kwahio kwamfano video ya diamond ikionesha tangazo kwa watu milioni mfano kwenye video ya jeje, diamond atapokea kama milioni 30.

youtube wanalipa kulingana na tangazo limeonekana mara ngap sjo kwa idadi ya views, katika views milioni 1 tangazo linaweza kuonekana kwa watazamaji laki saba,
 
Back
Top Bottom