Hongera Diamond kwa release ya Utanipenda, umenishika Nifah!

Hongera Diamond kwa release ya Utanipenda, umenishika Nifah!

I love u.
Kabisa mkuu,nimeshindwa kuvumilia kwakweli.
Huu wimbo haukauki machoni mwangu,leo nitautia kwenye flash nizidi kuukosha moyo wangu.
Siuchoki kabisa.
 
Kwani hujaona kigwangala kamfanyia ziara ya kushtukiza halafu jamaa katoka nduki
You can't believe niko busy sana,habari za ulimwengu sina kabisaaa.
Asante,ngoja nifuatilie hilo.
 
Jamani kaka Slim5,nimeamua tu kusema ukweli.
Mimi bado ni yuleyule bwana.....

Umenibadilikia dada. Ahsante. Dhambi sio kumpenda mond, ungempenda na kukaa kimya huko huko usingepungua kitu! kuja huku na promo ndio nini sasa! Nimekumaindi ujue!
 
Last edited by a moderator:
Sawa hatukatai..ila kama ungekuwa fair, basi ulipaswa pia kurudi na kumkubali Magufuli baada ya kumpinga sana kipindi cha kampeni
Yalaaaaa,wewe mnafiki umeonaje huu uzi?
Laiti ningeweza ningeuficha usiuone!
Sio case, nilishakuambia kuwa baada ya mwaka nitatoa tathmini yangu.

Unanijua mimi ni mdada makini,huwa sikurupuki....huu wimbo nimeusikiliza tokea jumamosi,nimeufanyia tathmini ndio maana leo nimefunguka.

Magufuli nae baada ya mwaka kupita nikifanya mchanganuo wa aliyoyafanya na kuona mengi ameyafanikisha kwanini nisimkubali?
 
Umenibadilikia dada. Ahsante. Dhambi sio kumpenda mond, ungempenda na kukaa kimya huko huko usingepungua kitu! kuja huku na promo ndio nini sasa! Nimekumaindi ujue!
Hapana kaka,wewe wanijua vyema,huwa siwezi kuuficha ukweli.
Na hili jambo lilikuwa linanisumbua sana,lakini tokea niliweke wazi nimekuwa na amani.

Halafu sijasema kama nampenda,nimeukubali wimbo wake,rejea maelezo yangu pale juu.
Nisamehe kaka yangu.
 
Umemaliza vzr. Nimekusamehe dada.
 
Sidhani kama watatia uso hapa ktk uzi huu. Wameshikwa na haya na hasira huko waliko.

Hawaishiwi la kuongea hata siku moja hao watu hahahaha watasema Diamond keshamuhonga Nifah, au wamehack account yake
 
Back
Top Bottom