baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Nimekusifu diamond kwa kukaa kimya,tukio la fiesta watu walijua utapagawa na kuongea hovyo na media.naamini sasa wamechokoza moto.
Diamond fungua macho maadui zako ni wengi na si Kiba pekee,walijua utawapa kick.ila umeliona na ukawapuuza.safi sana kijana watanzania tunataka ushindani wa ubunifu tu.
ulitaka angolee hilo?
hili gazeti, ni kama la udaku tu..... limekaa ki shigongo shigongo tu
habari kama hii sio ya kuweka front page, kuna mengi ya muhimu wangeweka hapo ingekua safi
kama yepi wangeweka?
kama yepi wangeweka?
Ila kinacholeta mvuto kwa huyu dogo ni kwamba ametoka katika mazingira ya ufukara akapigana akawa juu angalau mama yake anazeeka vizuri,.
Dunia hii get rich or die trying.
Sio fitna na wivu ambao una wanyima watu rizki na visirani.
Huyu alikuwa maskini sasa ni kitajiri,so envy,envy, envy,
hili gazeti, ni kama la udaku tu..... limekaa ki shigongo shigongo tu
habari kama hii sio ya kuweka front page, kuna mengi ya muhimu wangeweka hapo ingekua safi
Mumeooo nini?!?!!!
ulitaka angolee hilo?