Hongera Diamond kwa ukimya

Hongera Diamond kwa ukimya

baba anjela

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
431
Reaction score
310
Nimekusifu diamond kwa kukaa kimya,tukio la fiesta watu walijua utapagawa na kuongea hovyo na media.naamini sasa wamechokoza moto.

Diamond fungua macho maadui zako ni wengi na si Kiba pekee,walijua utawapa kick.ila umeliona na ukawapuuza.safi sana kijana watanzania tunataka ushindani wa ubunifu tu.
 
ulitaka angolee hilo?

DSC04614.jpg
 
hivi kweli zile ni za jeshi la tz au
 
Ila kinacholeta mvuto kwa huyu dogo ni kwamba ametoka katika mazingira ya ufukara akapigana akawa juu angalau mama yake anazeeka vizuri,.
Dunia hii get rich or die trying.
Sio fitna na wivu ambao una wanyima watu rizki na visirani.
Huyu alikuwa maskini sasa ni kitajiri,so envy,envy, envy,
 
dogo anajuaa maisha ni nini....katokaa tandale hajatoka masaki wala obay..wala hakuwa mtoto wa kigogo lakini kawa maarufu na anakutana na watu wazito...naona atazidi piga hatua
 
unachezea za chembe weyeee,lazima ukae ukipokea zile kalikali unapoteza fahamu kwa muda kwanza...ukiinuka hapo hata kama unamaguvu vipi ni nduki kama umefungwa mota
 
Back
Top Bottom