MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Hazi kutimu weweUngekuwa na hela usingekuwa na mawazo kama haya! thats why
Pesa ndio nini sasa!!!?
Wachina wana mipesa mingi sana
Lakini wanazaa 1-2
Wewe unatandika ili iweje!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hazi kutimu weweUngekuwa na hela usingekuwa na mawazo kama haya! thats why
Mkuu maneno hayo! MmhKama sikosei huyu ndio atakuwa first born.
Hahahahahahahaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh asee haka kabibi kanatotoa balaa
Wewe unao uhakika gani kwamba baba yako hakuuziwa mbuzi kwenye gunia ulipozaliwa weweHuyo ndiyo anaweza kuwa first born wa Mond, Tiffa aliuziwa mbuzi kwenye gunia
Waziri wa Elimu
Watu wametofautiana baba uzao wake mzurikwa Diamond kutaka mtoto mwingine ni sawa, ila kwa huyu mama ni kazi, nikifikiria mkewangu mimba 1 tu ilivyompa shida sasa huyu mimba zote hizo kwa mda mfupi anakuwa na hali gani?
Wabongo Pasua vichwa wana DNA machoniKwanini?
Swali zuri sana..!Wewe unao uhakika gani kwamba baba yako hakuuziwa mbuzi kwenye gunia ulipozaliwa wewe
Amesema huyo ndio wa pili na wa mwisho, inshallar Mungu amkuzie salamaIla nae anajitahidi kuzaa... Domo ajitahidi by 2020 anaeza fikisha 4 au 5 hapo
Kwa kawaida kwa mwanamke mwenye afya njema mimba haipaswi kumpa shida hata azae kumi, hivyo basi pole sana kwa mkeo kupatwa na shida at her first prego something must be wrong somewhere!kwa Diamond kutaka mtoto mwingine ni sawa, ila kwa huyu mama ni kazi, nikifikiria mkewangu mimba 1 tu ilivyompa shida sasa huyu mimba zote hizo kwa mda mfupi anakuwa na hali gani?
Dooh! Kuna watu don't dare kubishana nao aisee, so kuna watu mpaka sasa mnaamini tiffa sio wa dai? Pamoja na kucopy n paste ule mdomo bado tuuuu....??? Basi hata huyu hamuwezi kubali ni wa kwake.Kama sikosei huyu ndio atakuwa first born.
Sasa ule mdomo wa dai kwa tiffah umefika fikaje?Huyo ndiyo anaweza kuwa first born wa Mond, Tiffa aliuziwa mbuzi kwenye gunia
Umeonaaae! Siku hizi bint wa miaka 20 Prime anapatwa na Pregnancy Induced Hypertention (PIH) hawezi jifungua kawaida, bed rest from mwanzo to delivery wanawake wakienyeji mwisho [emoji118]1985 kuzidi hapo wote ni wakisasa akibeba mimba akajifungua salama unapeleka sadaka kanisani, maanake sio kwa complications atakazo riseNi siku hizi tu wanawake wamekuwa na maumbile ya mwendo kasi, maisha ya kuamka asubuhi mkate, butter, maziwa viko kwenye fridge, unachemsha maji unakunywa chai. Ninamkumbuka mama mmoja alizaa watoto 19 bila hata ceaser wala kisu. Mimba zote asubuhi anakwenda kutafuta kuni na kuchota maji.
Hanyeng'anye! Hatari sana, Kioo cha jamii na UZAZI WA MPANGO![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji95]kwa Diamond kutaka mtoto mwingine ni sawa, ila kwa huyu mama ni kazi, nikifikiria mkewangu mimba 1 tu ilivyompa shida sasa huyu mimba zote hizo kwa mda mfupi anakuwa na hali gani?
We unakizazi cha mmojaBi Zarina ana kizazi cha wale wamama wa zamani anaweza jifungua hata watoto 12
Duuu yamekua hayo ??? Mimi nimempa sifa tu Bi Zarina ,halafu sina kizazi nina shahawa karibuWe unakizazi cha mmoja