Hongera Diamond, tuendelee kuijaza dunia

Hongera Diamond, tuendelee kuijaza dunia

Ungekuwa na hela usingekuwa na mawazo kama haya! thats why
Hazi kutimu wewe

Pesa ndio nini sasa!!!?
Wachina wana mipesa mingi sana
Lakini wanazaa 1-2
Wewe unatandika ili iweje!!?
 
kwa Diamond kutaka mtoto mwingine ni sawa, ila kwa huyu mama ni kazi, nikifikiria mkewangu mimba 1 tu ilivyompa shida sasa huyu mimba zote hizo kwa mda mfupi anakuwa na hali gani?
Watu wametofautiana baba uzao wake mzuri
 
Mbwa kala mbwa, mwanamke wa kiganda huyo ana mahesabu makali sana.. Mume mwenyewe mwanabongo fleva shule hamna.. Hayaaa!
 
kwa Diamond kutaka mtoto mwingine ni sawa, ila kwa huyu mama ni kazi, nikifikiria mkewangu mimba 1 tu ilivyompa shida sasa huyu mimba zote hizo kwa mda mfupi anakuwa na hali gani?
Kwa kawaida kwa mwanamke mwenye afya njema mimba haipaswi kumpa shida hata azae kumi, hivyo basi pole sana kwa mkeo kupatwa na shida at her first prego something must be wrong somewhere!
 
Kama sikosei huyu ndio atakuwa first born.
Dooh! Kuna watu don't dare kubishana nao aisee, so kuna watu mpaka sasa mnaamini tiffa sio wa dai? Pamoja na kucopy n paste ule mdomo bado tuuuu....??? Basi hata huyu hamuwezi kubali ni wa kwake.
 
Ni siku hizi tu wanawake wamekuwa na maumbile ya mwendo kasi, maisha ya kuamka asubuhi mkate, butter, maziwa viko kwenye fridge, unachemsha maji unakunywa chai. Ninamkumbuka mama mmoja alizaa watoto 19 bila hata ceaser wala kisu. Mimba zote asubuhi anakwenda kutafuta kuni na kuchota maji.
Umeonaaae! Siku hizi bint wa miaka 20 Prime anapatwa na Pregnancy Induced Hypertention (PIH) hawezi jifungua kawaida, bed rest from mwanzo to delivery wanawake wakienyeji mwisho [emoji118]1985 kuzidi hapo wote ni wakisasa akibeba mimba akajifungua salama unapeleka sadaka kanisani, maanake sio kwa complications atakazo rise
 
kwa Diamond kutaka mtoto mwingine ni sawa, ila kwa huyu mama ni kazi, nikifikiria mkewangu mimba 1 tu ilivyompa shida sasa huyu mimba zote hizo kwa mda mfupi anakuwa na hali gani?
Hanyeng'anye! Hatari sana, Kioo cha jamii na UZAZI WA MPANGO![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji95]
 
Jiulizeni swali jepesi tu hivi huyo Zari kabla ya kukutana na ex wake Ivan alikua anamiliki nini?? Ana mahesabu makali sana huyo dada, nyie wabongo chekeleeni huyo dogo kajiingiza kwenye mdomo wa simba na hivi zipu yake hafungi hilo ni janga laja!
 
Bi Zarina ana kizazi cha wale wamama wa zamani anaweza jifungua hata watoto 12
 
Safi sana son,
zaa watoto ili mradi umepata
mzaaji;
 
Back
Top Bottom