Hongera Diamond

Nilikuwa naangalia Wasafi TV sijui ni recorded au ni live.

wafanyakazi wake walikuwa wqnampongeza kwenye birthday yake.

Wanavyozungumza unaona licha ya kuwatumia kwenye kazi zake ila amewasaidia.
Wengine nadhani bila Dai wangekuwa wana hali mbaya sana kimaisha. Walionufaika nae wanamuona kama mungu wao vile
 
Sijawahi ona mtu akipongezwa ktk level mnayo izungumzia hapa angali akiwa hai. Kwa sasa atapata ndogo ndogo tuu yaan za kawaida tuu.
 
Sijawahi ona mtu akipongezwa ktk level mnayo izungumzia hapa angali akiwa hai. Kwa sasa atapata ndogo ndogo tuu yaan za kawaida tuu.
Kwa hiyo tuache.
 
Kwa hiyo tuache.
Sina maana hiyo, ila watu huwa hatuyapi kipaumbele mambo uliyofanya km bado waendelea kufanya. Ukikoma/acha kufanya ndio tutakupa kongole kwa uliyo yafanya
 
umeona alichokifanya Namibia? hope wale wanaosema kachuja they got something to learn!!
 
Kwel kabisa anahitaji pongezi ila subilia wenye team zao waje mbona utafuta huu uzi
 
Hard working pay,kati ya vijana bora walionyesha uwezo mkubwa pasipo elimu daimond na sammata wamefungua milango ya wengine kuamini hongera zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…