Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Mh Mlinga ana id humu ?Ngoja tumuite Mlinga atuambie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh Mlinga ana id humu ?Ngoja tumuite Mlinga atuambie
Ok ndo nilikuwa nimekuchek pm kuna kitu nataka nikuelekezeChemba wapi? nina tatizo la pm toka JF ipotee.
Amna noma Fanya hivyo ni cha maana mzaziUnielekeze haha...haya nitaku pm.
Kabisaa...yaaniDiamond ni mfano wa msemo "From Zero To Hero".
Wengine nadhani bila Dai wangekuwa wana hali mbaya sana kimaisha. Walionufaika nae wanamuona kama mungu wao vileNilikuwa naangalia Wasafi TV sijui ni recorded au ni live.
wafanyakazi wake walikuwa wqnampongeza kwenye birthday yake.
Wanavyozungumza unaona licha ya kuwatumia kwenye kazi zake ila amewasaidia.
Hakuna utimu wala nini diamond anastahilo sifaaa....!!hao wenye timu kwa kweli hapanangoja wenye timu zao waje
Wanaomponda ni roho mbaya tu mzeeameisukuma industry ya muziki nchini...Anasikilizwa sehemu nyingi.
Sijawahi ona mtu akipongezwa ktk level mnayo izungumzia hapa angali akiwa hai. Kwa sasa atapata ndogo ndogo tuu yaan za kawaida tuu.Huyu jamaa tumpongeze kwa makubwa anayofanya. Tusikosoe na kutoa kasoro kila siku. Tukiona kuna vijana wenzetu wanajituma na kufanya kazi kwa bidii tuwape moyo na kuwapongeza waendelee kufanya makubwa.
Mimi sio mbeya nayajua maisha ya Diamond nayoyaona tu mitandaoni. Kwa ninayoyaona huyu jamaa anastahili pongezi saana.
-Ni Diamond huyu kaweza kuanzisha brand kubwa ya muziki iliyotushinda kwa muda mrefu east afrika.
-Ni Diamond huyu ameweza kututhibitishia kijana anaweza kutoka Tandale akaangaliwa na Africa nzima Trace au channel O.
-Ni Diamond huyu ameweza kuajiri vijana ambao wanatoa shuhuda isingekuwa yeye wangekuwa wanauza dawa mbagala.
Amefanya makubwa saana, yanaweza yasionekane lakini siku akifariki mtayasema yote. Pongezi kwake.
Sina maana hiyo, ila watu huwa hatuyapi kipaumbele mambo uliyofanya km bado waendelea kufanya. Ukikoma/acha kufanya ndio tutakupa kongole kwa uliyo yafanyaKwa hiyo tuache.
umeona alichokifanya Namibia? hope wale wanaosema kachuja they got something to learn!!Huyu jamaa tumpongeze kwa makubwa anayofanya. Tusikosoe na kutoa kasoro kila siku. Tukiona kuna vijana wenzetu wanajituma na kufanya kazi kwa bidii tuwape moyo na kuwapongeza waendelee kufanya makubwa.
Mimi sio mbeya nayajua maisha ya Diamond nayoyaona tu mitandaoni. Kwa ninayoyaona huyu jamaa anastahili pongezi saana.
-Ni Diamond huyu kaweza kuanzisha brand kubwa ya muziki iliyotushinda kwa muda mrefu east afrika.
-Ni Diamond huyu ameweza kututhibitishia kijana anaweza kutoka Tandale akaangaliwa na Africa nzima Trace au channel O.
-Ni Diamond huyu ameweza kuajiri vijana ambao wanatoa shuhuda isingekuwa yeye wangekuwa wanauza dawa mbagala.
Amefanya makubwa saana, yanaweza yasionekane lakini siku akifariki mtayasema yote. Pongezi kwake.
Kwa Tiketi ya CCM.Mbunge wa jimbo moja huko Morogoro