Hongera Diamond

Hongera Diamond

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Huyu jamaa tumpongeze kwa makubwa anayofanya. Tusikosoe na kutoa kasoro kila siku. Tukiona kuna vijana wenzetu wanajituma na kufanya kazi kwa bidii tuwape moyo na kuwapongeza waendelee kufanya makubwa.

Mimi sio mbeya nayajua maisha ya Diamond nayoyaona tu mitandaoni. Kwa ninayoyaona huyu jamaa anastahili pongezi saana.

-Ni Diamond huyu kaweza kuanzisha brand kubwa ya muziki iliyotushinda kwa muda mrefu east afrika.

-Ni Diamond huyu ameweza kututhibitishia kijana anaweza kutoka Tandale akaangaliwa na Africa nzima Trace au channel O.

-Ni Diamond huyu ameweza kuajiri vijana ambao wanatoa shuhuda isingekuwa yeye wangekuwa wanauza dawa mbagala.

Amefanya makubwa saana, yanaweza yasionekane lakini siku akifariki mtayasema yote. Pongezi kwake.
 
ngoja wenye timu zao waje
 
Diamond ni mfano wa msemo "From Zero To Hero".
Haswa...

Miaka isiyo mingi iliyopita...nilikuwa nikifuatilia muziki japo wa Nigeria na South Africa.

Utaskia chokolate city,Sarkses music, unajiuliza hivi bongo tunashindwa haya kweli?

Jamaa kaweza ku-brand"wasafi" hadi kawapita.
 
Back
Top Bottom