kubwalamaadui
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 328
- 51
ndoa ya tatu si mchezo.
hongera sana,wanawake wanaweza mtu akikuzingua piga chini
hongera sana,wanawake wanaweza mtu akikuzingua piga chini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ezden nilikuwa nakuaminia sana jembelangu ila hapa umeingia choo cha kike:angry:
sawa kabisa...yanini kuwekeani usiku ...life is too short
ndo hivo shost na bahati yake wengine hata photoshoot tu hawajavaa shela.....mwenzetu anachange umrs kama mboga vile ....you made ma day smile kila shela linalotoka analo
acha kashfa kaka dida ana ushankupe gani....mdada wa watu hapendi kuzini...wangapi hawaolewi ila wana wanaume mia kidogo...?Huyo jamaa ni jembe sana kwenye career yake,nilikuwa namfatilia sana alipokuwa Kiss kwenye kipindi chake cha KISS COLLABO SHOW,kwa nilivyokuwa namuona misimamo/itikadi zake sikudhani kama kwenye malovee anaweza akaangukia kwa shankupe
Hahaha nimekuja kuangalia comments!