Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah huyu dida ana sura mbaya jamani khaaa!
mmh, hizo picha, ndio maana kuna jamaa kamfananisha na shankupe.
pole yako wewe unayeumia na raha za wenzio.....Asee nlkua cjajua ka n huyu chalii,pole zako ezden
Haha Dida umeoshewa mpenda penda, wakati unaingiza ndoa ya tatu wengine hata hiyo moja wanaisaka hawajaipata!! Kula maisha mama kwani ndio aina ya maisha uliyochagua.
Uzur mapenz hayana makombo
Asee nlkua cjajua ka n huyu chalii,pole zako ezden
wivu tu unawasumbuaUsimpe pole.
Ezden nikama amekalia seat ys bus. Akifika mwisho atashuka, then anamuachia abaria mwngine akalie seat.
Nikama mtuanatoka, mwingine anaingia.
Hiyo maneno hainaga makombo
kama mume anawezaKila mwanaume anamzalia mtoto au?
kama mume anaweza