Hongera Dida

Hongera Dida

Huyu jamaa nia yake ni papuchi ili nae aweke rekodi. Huenda aliambiwa sikupi mpaka baada ya ndoa, vibginevo sijaona muoaji apo.
 
Ngoja nianze kujiandaa wangu, ukiona tu ameachika nishtue kabla wengine hawajaniwahi...... Oi ma dwa!
ahahaaa ode lakana fo...ifo lileshinda mafisi ewe kulyiidimaa?
 
unamuaminia nini na yeye akileta za kuleta anatupwa kule watu wanavuta kitu kipya!

Wala sio heshima mtoto wa kike kuolewa kila kukicha., huyo dida lazima atakuwa na matatizo tena makubwa sana.... Ndoa tatu ??? Khaaaa aibu sana!
 
Wala sio heshima mtoto wa kike kuolewa kila kukicha., huyo dida lazima atakuwa na matatizo tena makubwa sana.... Ndoa tatu ??? Khaaaa aibu sana!

Au anaweza kuwa dili... Kwa nini kila akiachika basi anapata mtu wa kumuoa fasta?
 
khadija binti mchopanga kaolewa na mtangazaji mwenzie ni vizuri wataelewana..
 
Wala sio heshima mtoto wa kike kuolewa kila kukicha., huyo dida lazima atakuwa na matatizo tena makubwa sana.... Ndoa tatu ??? Khaaaa aibu sana!
aibu gani? maisha yenyewe mafupi
 
Duu dem mwnyw yup bomba acha mgumu achachawe sio vzr kumwita nshakupe jamani kazi yake yaweza kua tofaut kabisa na uhalisia wa maisha yake
 
Au anaweza kuwa dili... Kwa nini kila akiachika basi anapata mtu wa kumuoa fasta?

Hakuna cha dili hapo ndugu, hao ma bwana harusi wenyewe si unawaona? Wanaendana nae! Mwenye akili timamu haoi huyo, usishangae mfungo ukiisha ukasikia kaachika tena lol
 
Maisha kuwa mafupi hakumfanyi binadamu kupoteza busara yake ! Mwenzetu ushafunga ngapi mpaka sasa?
sina HATA BOYFRIEND ILA NAMPA BIG UPU SANA...HATA HUYU AKIZINGUA APIGWE CHINI KIVUTWE KITU KIPYA
 
Back
Top Bottom