Hongera Dida

kubwalamaadui

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
328
Reaction score
51
ndoa ya tatu si mchezo.
hongera sana,wanawake wanaweza mtu akikuzingua piga chini
 
sawa kabisa...yanini kuwekeani usiku ...life is too short
 
harusi ya tatu ya mamaa dida...akikuchezea nae piga chini vuta kitu kipya shostiii...
 
Ezden nilikuwa nakuaminia sana jembelangu ila hapa umeingia choo cha kike:angry:
 
Huyo jamaa ni jembe sana kwenye career yake,nilikuwa namfatilia sana alipokuwa Kiss kwenye kipindi chake cha KISS COLLABO SHOW,kwa nilivyokuwa namuona misimamo/itikadi zake sikudhani kama kwenye malovee anaweza akaangukia kwa shankupe
 
acha kashfa kaka dida ana ushankupe gani....mdada wa watu hapendi kuzini...wangapi hawaolewi ila wana wanaume mia kidogo...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…