wa kwanza nadhani ana mtoto nae wa pili hana labda ndo maana kampiga chini akavuta kitu kipyaHao waume zake waliopita alizaa nao watoto?
wa kwanza nadhani ana mtoto nae wa pili hana labda ndo maana kampiga chini akavuta kitu kipya
aisee na sisi tuoane tukishindwana tunaachana kwani shida nini?Huyu jamaa nia yake ni papuchi ili nae aweke rekodi. Huenda aliambiwa sikupi mpaka baada ya ndoa, vibginevo sijaona muoaji apo.
anza process za kumchumbiaNgoja na mimi nipange foleni, huenda ana Mgodi wa dhahabu huko Dauni....
anza process za kumchumbia
ahahaaa ode lakana fo...ifo lileshinda mafisi ewe kulyiidimaa?Ngoja nianze kujiandaa wangu, ukiona tu ameachika nishtue kabla wengine hawajaniwahi...... Oi ma dwa!
Weupe unamsaidia angekuwa black huyo balaa.
unamuaminia nini na yeye akileta za kuleta anatupwa kule watu wanavuta kitu kipya!
Wala sio heshima mtoto wa kike kuolewa kila kukicha., huyo dida lazima atakuwa na matatizo tena makubwa sana.... Ndoa tatu ??? Khaaaa aibu sana!
ahahaaa ode lakana fo...ifo lileshinda mafisi ewe kulyiidimaa?
aibu gani? maisha yenyewe mafupiWala sio heshima mtoto wa kike kuolewa kila kukicha., huyo dida lazima atakuwa na matatizo tena makubwa sana.... Ndoa tatu ??? Khaaaa aibu sana!
ahahaaa labda!ankuruuya denBahati nyen akashiwegha... lol
Au anaweza kuwa dili... Kwa nini kila akiachika basi anapata mtu wa kumuoa fasta?
aibu gani? maisha yenyewe mafupi
sina HATA BOYFRIEND ILA NAMPA BIG UPU SANA...HATA HUYU AKIZINGUA APIGWE CHINI KIVUTWE KITU KIPYAMaisha kuwa mafupi hakumfanyi binadamu kupoteza busara yake ! Mwenzetu ushafunga ngapi mpaka sasa?
sina HATA BOYFRIEND ILA NAMPA BIG UPU SANA...HATA HUYU AKIZINGUA APIGWE CHINI KIVUTWE KITU KIPYA