bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Nikajua anamke wa heshima kumbe walewale wanawake wa kiswahili(watoto wa mchepuko)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipata jibu nitaq tafadhari .Huyo mama ake au mke wake??
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Du...mbona kama amesimama na simtank pembeni au macho yangu.
Ni Mimi nimejiuliza moyoni kimya kimyaHuyo mama ake au mke wake??
Sio mkubwa kwa mwili sura inaonesha umri umesogea sanaHongera zake..!! Huyu jamaa azeeki, ila mkewe anaonekana mkubwa sijui mwili wake au
Wawaonaje wazazi nyumbani utokeapo?Al aduli la azizi Khali yangu kama yako
Namshukuru Mwenyezi hofu yao juu yakoWawaonaje wazazi nyumbani utokeapo?
Na njiwa nlomtuma salamu, kakufikishia salama?
Wala wasihofu mahbibu, waambie khali yangu kama yako.Namshukuru Mwenyezi hofu yao juu yako
Daima nitakuwenzi la AzizWala wasihofu mahbibu, waambie khali yangu kama yako.
Namshukuru Manani, aliye mwingi wa rehma.
Huyo mama ake au mke wake??
Hongera dr na mrs Cheni
duh... kwa mke huyo kweli kavumilia
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Michemsho/ machips mayai ni hatari sana..
Du...mbona kama amesimama na simtank pembeni au macho yangu.
Shangaa wewe lijanamke likuuuuuuuuuuubwa kama kiboko tank la ltr 5000
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilijua mama yake,, mwanaume unatakiwa uoe mtoto mbichiii,,sasa huyo mikiki ya usiku si goigoi jomoni
Ni maoni tu
Namimi nitakuenzi kwakuwa uko peke yako.Daima nitakuwenzi la Aziz
Naona bado umekapa kete....Namimi nitakuenzi kwakuwa uko peke yako.
Ewe njiwa, ewe njiwa... peleka salamuNaona bado umekapa kete....
Shikilia usiachie.
Ewe njiwa, ewe njiwa... peleka salamu
Kwa yule, kwa yule... wangu wa muhibu...
Umenisomesha??Cat is not only animal, there's elephant and hippopotamus.
TehtehUmenisomesha??