T The Giantist JF-Expert Member Joined Dec 12, 2018 Posts 214 Reaction score 86 Oct 31, 2020 #1 Na: McWenceslaus 31/10/2020 Wapinzani sikieni, Ujumbe mshikeni, Iloletwa na wageni, Ndicho chenu kishikeni. Wambieni Mabeberu, Na Robert Amstardamu, Nchi yetu ipo huru, na CCM ndio Nuru. Magufuli 5 tena, Ndio neno lilojema, Tumaini lipo tena, Kazi ndio wetu wema. Haki uhuru na amani, Ndizo njia zetu ngazi, Umoja Upendo nchini, Maendeleo ni yetu hadhi. Vivaa vijana vivaaa, Kwa ushindi wa Tanzania, Kazi kwetu ndio njia, Maendeleo kujiletea. Sauti ya Mdodomia 31/10/2020 Dodoma.
Na: McWenceslaus 31/10/2020 Wapinzani sikieni, Ujumbe mshikeni, Iloletwa na wageni, Ndicho chenu kishikeni. Wambieni Mabeberu, Na Robert Amstardamu, Nchi yetu ipo huru, na CCM ndio Nuru. Magufuli 5 tena, Ndio neno lilojema, Tumaini lipo tena, Kazi ndio wetu wema. Haki uhuru na amani, Ndizo njia zetu ngazi, Umoja Upendo nchini, Maendeleo ni yetu hadhi. Vivaa vijana vivaaa, Kwa ushindi wa Tanzania, Kazi kwetu ndio njia, Maendeleo kujiletea. Sauti ya Mdodomia 31/10/2020 Dodoma.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 1, 2020 #2 Hongera zake sana... Cc: mahondaw
Ndebile JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 7,745 Reaction score 11,267 Nov 1, 2020 #3 Sio kwamba tulihudhuria mikutano yako kumuona Diamond kama wapinzani waliyokuwa wanajiliwaza....masanduku ya kura yamedhihilisha tuna mapenzi ya kweli na JPM!
Sio kwamba tulihudhuria mikutano yako kumuona Diamond kama wapinzani waliyokuwa wanajiliwaza....masanduku ya kura yamedhihilisha tuna mapenzi ya kweli na JPM!